Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kibadeni aota robo fainali ya Kombe Mapinduzi

Zanzibar. Licha ya kupumulia mashine katika michuano ya  Mapinduzi inayoendelea visiwani hapa, kocha wa Ashanti  United, Abdallah ‘King’ Kibadeni amesema hajakata tamaa  ya kusonga mbele katika hatua ya robo fainali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Yanga yatinga robo fainali Mapinduzi Cup

Pg 32 leo

TIMU ya Yanga jana ilitinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar baada ya kuichapa Polisi ya humo mabao 4-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan.
Timu hizo zilizopo katika Kundi A ziliingia uwanjani zikiwa na kumbukumbu ya ushindi kwenye mechi zao za kwanza, ambapo Yanga iliifunga Jango’mbe kwa mabao 4-0, huku Polisi ikiifunga Shaba ya huko kwa bao 1-0.
Shujaa wa Yanga kwenye mchezo huo alikuwa ni winga wake wa kushoto, Mbrazil Andrey...

 

11 years ago

GPL

ROBO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA KUANZA LEO

Mshambuliaji wa timu ya Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior ' Neymar '. John Joseph na mtandao NJIA ya kuelekea kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2014 inachongwa leo Ijumaa na kesho Jumamosi ambapo kutakuwa na mechi nne za robo fainali.…

 

5 years ago

Michuzi

SAHARE UNITED YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA AZAM


Na Zainab Nyamka, Michuzi TV.

Kocha wa timu ya Sahare All Stars Kessy Abdalla amesema wamejipanga kucheza na timu yoyote watakayopangiwa nayo kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Azam ASFC.

Hayo ameyasema baada ya kumalizika kwa mchezo wa hatua ya 16 bora baada ya kuibuka na ushindi wa goli 5-2 dhidi ya Panama Fc ya Jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo umechezwa leo katika Uwanja wa Uhuru ambapo Sahare All Stars waliweza kuibuka na ushindi huo mnono.

Kocha Abdalla amesema kuwa wao wanaamini...

 

10 years ago

Michuzi

ROBO FAINALI KOMBE LA TAIFA WANAWAKE KUANZA KESHO

Hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Taifa kwa Wanawake inachezwa kesho (Januari 26 mwaka huu) na Januari 27 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam kwa mechi mbili kila siku.
Mechi ya kwanza ya robo fainali ya michuano hiyo itakayooneshwa moja kwa moja na Azam Televisheni itaanza saa 9 alasiri kwa kuzikutanisha Mwanza na Kigoma. Robo fainali ya pili ambayo ni kati ya Tanga na Pwani itaanza saa 11 kamili jioni.
Ilala na Iringa watacheza robo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Fainali kombe la mapinduzi kupigwa leo

Michuano ya kombe la mapinduzi kufika tamati leo kwa timu za Simba na Mtibwa kucheza mchezo wa fainali.

 

11 years ago

GPL

NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI LEO

Azam FC vs KCC live leo on Azam TV saa kumi jioni
Saa mbili usiku Simba vs URA , Live on Azam…

 

11 years ago

Michuzi

goli la penati dhidi ya mexico yaipeleka uholanzi robo fainali kombe la dunia brazil leo

Kocha wa Uholanzi Louis van Gallakimpongeza Arjen Robben kwa kufanyiwa rafu iliyozaa penati na hatimaye bao la ushindi dhidi ya Mexico leo
Na Sultani Kipingo

wa Globu ya Jamii

Yaani huko Old Trafford katika  klabu ya Manchester United nchini Uingereza atakoenda kufundisha msimu ujao tayari waliishaanza kuandaa ofisi ya meneja wao mpya Louis van Gall anayeifundisha timu ya Uholanzi katika kombe la dunia, baada ya kuhisiwa kuwa ataaga mashindani hayo Jumapili hii walipocheza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani