Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ROBO FAINALI KOMBE LA TAIFA WANAWAKE KUANZA KESHO

Hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Taifa kwa Wanawake inachezwa kesho (Januari 26 mwaka huu) na Januari 27 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam kwa mechi mbili kila siku.
Mechi ya kwanza ya robo fainali ya michuano hiyo itakayooneshwa moja kwa moja na Azam Televisheni itaanza saa 9 alasiri kwa kuzikutanisha Mwanza na Kigoma. Robo fainali ya pili ambayo ni kati ya Tanga na Pwani itaanza saa 11 kamili jioni.
Ilala na Iringa watacheza robo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ROBO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA KUANZA LEO

Mshambuliaji wa timu ya Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior ' Neymar '. John Joseph na mtandao NJIA ya kuelekea kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2014 inachongwa leo Ijumaa na kesho Jumamosi ambapo kutakuwa na mechi nne za robo fainali.…

 

11 years ago

Mwananchi

Nusu fainali Kombe la Taifa kesho

>Wenyeji Temeke kesho watafungua pazia dhidi ya Kinondoni katika nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Kombe la Taifa ya netiboli inayoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: HATUA YA ROBO FAINALI KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO KATIKA UWANJA WA KAITABA, MABINGWA WATETEZI BILELE FC KUANZA NA KAHORORO FC

Na Faustine Ruta, BukobaTimu nane zilizosonga mbele kwenye hatua ya Robo Fainali KAGASHEKI CUP 2014 leo zinaanza kuonyeshana ubabe kati ya Mabingwa Watetezi Bilele Fc na Kahororo Fc kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini. Kwa ajili ya kuwania nafasi nne za kuingia hatua ya nusu fainali ya Ligi ya KAGASHEKI CUP Inayotarajiwa kuanza  wiki ijayo.  Timu ya Bakoba Fc ilipoteza na kutupwa nje kwenye Mashindano baada ya matokeo ya timu ya Kitendaguro kwenda vibaya katika hatua ya Makundi mtanange wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Robo fainali CECAFA kuanza leo

Michezo ya robo fainali ya michuano ya kombe la Cecafa Chalenji Cup itaanza kutimua vumbi leo huko Adis Ababa Ethiopia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Robo fainali Kagame kuanza leo

Hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati Cecafa Kagame Cup itachezwa leo

 

11 years ago

Mwananchi

Kibadeni aota robo fainali ya Kombe Mapinduzi

Zanzibar. Licha ya kupumulia mashine katika michuano ya  Mapinduzi inayoendelea visiwani hapa, kocha wa Ashanti  United, Abdallah ‘King’ Kibadeni amesema hajakata tamaa  ya kusonga mbele katika hatua ya robo fainali.

 

5 years ago

Michuzi

SAHARE UNITED YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA AZAM


Na Zainab Nyamka, Michuzi TV.

Kocha wa timu ya Sahare All Stars Kessy Abdalla amesema wamejipanga kucheza na timu yoyote watakayopangiwa nayo kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Azam ASFC.

Hayo ameyasema baada ya kumalizika kwa mchezo wa hatua ya 16 bora baada ya kuibuka na ushindi wa goli 5-2 dhidi ya Panama Fc ya Jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo umechezwa leo katika Uwanja wa Uhuru ambapo Sahare All Stars waliweza kuibuka na ushindi huo mnono.

Kocha Abdalla amesema kuwa wao wanaamini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Robo fainali Beach Soccer Dar kesho

MICHUANO ya mpira wa miguu wa ufukweni ‘Beach Soccer’ inayoendeshwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikishirikisha vyuo mbalimbali vya jijini Dar es Salaam imeingia hatua ya robo fainali. Robo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani