Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kibagha, mila ‘inayomjengea’ mwanamume ujasiri

Katika taifa lenye zaidi ya makabila 120, si ajabu kuona mila  tofauti nyingine zikiwa na mambo yanayoshangaza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dk Kone akemea mila potofu

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Paseko Kone amewaonya wale wote wanaokosoa uumbaji wa Mungu kwa kisingizio cha kutekeleza mila na desturi za makabila yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mila zazua mtafaruku makaburini

Matafaruku mkubwa umetokea baada ya ndugu wa marehemu, kumpasua tumbo ndugu yao na kumuwekea kifaranga cha kuku wakati akizikwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunahitaji ujasiri si msaada

TUMESHTUSHWA na taarifa zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete kuwa kuna mtandao mkubwa wa majangili wanaoendesha biashara haramu ya pembe za ndovu. Kauli hii ni ya kushtusha kwa kuwa serikali haipaswi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mila za Afrika kusini katika mazishi

Kwa mila za SA, mtu wa heshima ya juu akifariki hufanyiwa tambiko za kumisfu, basi je Nelson Mandela alipewa heshima gani?

 

10 years ago

BBCSwahili

Mila ya ukeketaji mashariki mwa DR Congo

Umoja wa mataifa unasema wanawake na wasichana milioni mia moja thelathini mashariki ya kati na barani Afrika wamekeketwa

 

10 years ago

Mwananchi

Mila potofu zawaathiri mabinti Siha

Licha ya Serikali na mashirika yasiyoyakiserikali kupinga mila potofu zinazofanywa na jamii ya wafugaji kwa watoto wa kike, mila hizo zimeendelea kuwaathiri watoto hao wilayani Siha mkoani Kilimanjaro.

 

10 years ago

Mwananchi

Wachaga wa Kilema na mila ya kufukua maiti

Ni jambo linaloweza kuwa geni kidogo kwa baadhi ya makabila, lakini kwa baadhi ya Wachaga wa Kilema mkoani Kilimanjaro kuna mila ambazo kwa makabila na jamii nyingine zinaweza kuwa za kushangaza.

 

9 years ago

Habarileo

Mila potofu zachangia udumavu Ruangwa

KUKUMBATIA mila potofu na uelewa mdogo juu ya masuala ya ya lishe kwa watoto na wajawazito ni moja ya sababu zinazochangia tatizo la udumavu na utapiamlo mkoani Lindi.

 

11 years ago

GPL

CHUCHU AJIFUNZA MILA ZA KIMASAI, AAIBIKA!

Staa wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans. Stori: Imelda mtema
STAA wa sinema za Kibongo, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufundishwa mila za kimasai na kusema ameelewa, muda mchache baadaye akachemka.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani