Mila potofu zachangia udumavu Ruangwa
KUKUMBATIA mila potofu na uelewa mdogo juu ya masuala ya ya lishe kwa watoto na wajawazito ni moja ya sababu zinazochangia tatizo la udumavu na utapiamlo mkoani Lindi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Dk Kone akemea mila potofu
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Mila potofu zawaathiri mabinti Siha
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Simu zachangia kuharibu ndoa nchini
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Pombe za kienyeji zachangia ongezeko la VVU Kigoma
WATANZANIA wengi hasa waliopo vijijini wanakunywa sana pombe za kienyeji kuliko zinazotengenezwa viwandani. Takwimu za Shirika la afya Duniani (WHO) zinaonesha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1lXnAUzo5O8/Xo3kCsl4rxI/AAAAAAALmjg/vqegO0e1Iz4EEU8CMXPyeYfVXQpATkg7gCLcBGAsYHQ/s72-c/9c4c9c61-31e4-484b-8337-fc25c390cc0b.jpg)
ASASI ZA KIRAIA ZACHANGIA SH MILIONI 79 KWA AJILI YA KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
Charles James, Michuzi TV
KATIKA kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali kwenye mapambano ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Corona, Mashirika yasiyo ya kiserikali (AZAKI) yamechangia Sh Milioni 79 kwa kamati ya kupambana na ugonjwa huo inayoongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
AZAKI pia imeahidi kutoa elimu kwa jamii kuhusu jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo ikiwemo kuhamasisha wananchi kutumia vitakasa mikono, maji ya kunawa, kuepuka misongamano isiyo ya lazima na kuwahi kituo cha...
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Asilimia 40 ya watoto wana udumavu
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Maisha ya watoto yanavyopotea kutokana na udumavu
10 years ago
Habarileo04 Jan
Arusha pamoja na kuwapo chakula, udumavu asilimia 44
WAKATI kiwango cha udumavu wa watoto chini ya miaka mitano nchini kikifikia asilimia 42 kitaifa, hali ni mbaya zaidi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini ukiwemo Mkoa wa Arusha ambao una asilimia 44 ya watoto chini ya miaka mitano wanaokabiliwa na tatizo hilo.
10 years ago
Dewji Blog06 Jun
ANGONET yahamasisha lishe kutokomeza udumavu na Utapiamlo
Katibu Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali la ANGONET lenye makao makuu jijini Arusha, Petter Bayo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya masuala ya lishe na kuitaka serikali iweke vipaumbele katika lishe ili kutokomeza matatizo ya udumavu na utapiamlo. Katikati ni Mratibu wa Angonet, Petro Ahham na kulia ni Jovitha Mlay mwanachama wa shirika hilo.(Picha na Mahmoud Ahmad).