Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asilimia 40 ya watoto wana udumavu

>Asilimia 42 ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano nchini wana udumavu huku asilimia 50 ya kaya zikiwa hazitumii  chumvi yenye madinijoto kwenye mlo wa kila siku hivyo, kuhatarisha ukuaji wa akili kwa watoto.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto asilimia 33 nchini wana upungufu Vitamin A

TAASISI ya Chakula na Lishe Tanzania, imesema asilimia 33 ya watoto walio na umri chini ya miaka 5 nchini wana upungufu wa vitamini A. Mtaalamu wa chakula na lishe kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Arusha pamoja na kuwapo chakula, udumavu asilimia 44

WAKATI kiwango cha udumavu wa watoto chini ya miaka mitano nchini kikifikia asilimia 42 kitaifa, hali ni mbaya zaidi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini ukiwemo Mkoa wa Arusha ambao una asilimia 44 ya watoto chini ya miaka mitano wanaokabiliwa na tatizo hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Maisha ya watoto yanavyopotea kutokana na udumavu

Taifa lenye maendeleo linahitaji watu wenye afya ya mwili na akili. Lakini huenda Tanzania ikaendelea kuathirika kwa kuwa na watoto wenye udumavu wa akili na mwili.

 

5 years ago

Michuzi

RC WANGABO AWAONYA WAKURUGENZI WANAOENDELEZA UDUMAVU KWA WATOTO RUKWA


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akiwaonesha wajumbe wa Kamati ya Lishe ya Mkoa pamoja na Halmashauri Kadi maalumu inyofafanua Tathmini ya utekelezaji wa Afua za lishe (score card) katika Mkoa wa Rukwa

……………….

Mwenyekiti wa kamati ya lishe ya mkoa ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wajumbe wa kamati hiyo kuandaa zawadi kwaajili ya Mkurugenzi wa halmashauri anaefanya vizuri na anayefanya vibaya katika kutenga shilingi 1,000 kwaajili ya kila mtoto wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Wanaume asilimia 49 wabambikiwa watoto

Dad-PyramidRuth Mkeni, Dar es Salaam

ASILIMIA 49 ya matokeo ya uchunguzi wa Makosa ya Vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka, yanaonesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samweli Manyele, alisema asilimia 100 ya sampuli zinazofikishwa ofisini kwake kwa ajili ya uchunguzi zinaonesha kiwango hicho kuwa baba anayedhaniwa siye.

“Kesi zinazopelekwa katika maabara yetu...

 

11 years ago

Mwananchi

Asilimia 51 ya watoto nchini hatarini kufa

Asilimia 51 ya watoto nchini imebainika hunyweshwa dawa zinazotibu ugonjwa wa malaria bila kuwa na ugonjwa huo.

 

10 years ago

Habarileo

‘Asilimia 90 ya watoto wote wanapata chanjo’

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema asilimia 90 ya watoto wote wa Tanzania sasa wanapata chanjo kutokana na kazi inayofanywa na Taasisi ya Kusambaza Chanjo Duniani ya Global Alliance for Vaccines and Immunisazation (GAVI).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Asilimia 95 ya watoto kupewa chanjo ya surua na rubella

HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa inatarajia kutoa chanjo ya surua na rubella kwa watoto 111,711 na dawa za matende na mabusha kwa watu wazima 264,076 katika kampeni inayoendelea nchini. Akizungumza...

 

9 years ago

Global Publishers

Asilimia 49 ya wanaume Tanzania, si wazazi halali wa watoto wao

er
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.

Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.

watoto_html_7e868ee4“Kesi zinazopokelewa katika maabara yetu zinazohusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani