Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asilimia 51 ya watoto nchini hatarini kufa

Asilimia 51 ya watoto nchini imebainika hunyweshwa dawa zinazotibu ugonjwa wa malaria bila kuwa na ugonjwa huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto asilimia 33 nchini wana upungufu Vitamin A

TAASISI ya Chakula na Lishe Tanzania, imesema asilimia 33 ya watoto walio na umri chini ya miaka 5 nchini wana upungufu wa vitamini A. Mtaalamu wa chakula na lishe kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Kilosa hatarini kufa njaa

WAKAZI wa kata za Magole, Kitete na Msowero, Tarafa ya Magole wilayani Kilosa, Morogoro wanakabiliwa na njaa baada ya mazao yao kulishwa  mifugo kusudi mashambani na kuharibiwa msimu wa mavuno...

 

11 years ago

Habarileo

Kiwanda cha matunda Madeke hatarini kufa

KIWANDA cha kusindika matunda cha Madeke kilichozinduliwa miezi saba iliyopita na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kinaelekea kufa baada ya kukosa fedha za uendeshaji. Wakulima wa Wilaya ya Njombe kilipo kiwanda hicho wameeleza masikitiko yao wakisema hali hiyo itarudisha nyuma mwamko wao wa uzalishaji wa matunda.

 

11 years ago

Michuzi

ASILIMIA 25 YA WANAWAKE WAKO HATARINI KUPATA SARATANI YA SHINGO YA UZAZI.

 Mkurugenzi Mtendaji wa T-Marc Tanzania Diana Kisaka akizungumza na wadau kuhusu majukumu ya T-Marc.  Mkurugenzi Mtendaji wa T-Marc Tanzania Diana Kisaka akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu, mgeni rasmi wa uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha jamii kuhusu huduma za uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi uliondaliwa na taasisi isiyo ya Kiserikali ya T- Marc Tanzania katika mkutano na wadau mbalimbali wa afya mkoa wa Iringa uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha Veta.

 

10 years ago

Mwananchi

Wajawazito, watoto walivyo hatarini katika migodi Geita

Ni katika Kijiji cha Nyakabale kilichopo mjini Geita. Kijijini hapo kuna nyumba nyingi zilizojengwa, unazoweza kuzifananisha na makambi ya wakimbizi.

 

11 years ago

Mwananchi

Asilimia 40 ya watoto wana udumavu

>Asilimia 42 ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano nchini wana udumavu huku asilimia 50 ya kaya zikiwa hazitumii  chumvi yenye madinijoto kwenye mlo wa kila siku hivyo, kuhatarisha ukuaji wa akili kwa watoto.

 

9 years ago

Mtanzania

Wanaume asilimia 49 wabambikiwa watoto

Dad-PyramidRuth Mkeni, Dar es Salaam

ASILIMIA 49 ya matokeo ya uchunguzi wa Makosa ya Vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka, yanaonesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samweli Manyele, alisema asilimia 100 ya sampuli zinazofikishwa ofisini kwake kwa ajili ya uchunguzi zinaonesha kiwango hicho kuwa baba anayedhaniwa siye.

“Kesi zinazopelekwa katika maabara yetu...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake, watoto hatarini mgodini Geita maisha wawatesa waishio

Baadhi ya wanawake katika machimbo ya Nyarugusu wilayani Geita wakiwa wabeba watoto wao mgongoni wameendelea kufanya kazi ya kuponda mawe bila kujali maradhi yanayoweza kuwapata watoto wao.

 

10 years ago

GPL

MAJENGO YABOMOKA MENGINE HATARINI KUWAANGUKIA WATOTO, MH. RIDHIWANI ASIKITISHWA

Diwani wa kata ya Kibindu Mawazo Mkufya aliyenyanyua mikono juu akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete kulia aliyevaa kofia ya kijani kufuatia mvua kubwa kubomoa madarasa ya shule ya Msingi Kibindu. Moja ya darasa la shule ya msingi Kibindu likiwa limebomoka kufuatia mvua kubwa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani