Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiwanda cha matunda Madeke hatarini kufa

KIWANDA cha kusindika matunda cha Madeke kilichozinduliwa miezi saba iliyopita na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kinaelekea kufa baada ya kukosa fedha za uendeshaji. Wakulima wa Wilaya ya Njombe kilipo kiwanda hicho wameeleza masikitiko yao wakisema hali hiyo itarudisha nyuma mwamko wao wa uzalishaji wa matunda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KINANA ATINGA BUMBULI, ANG'AKA KIWANDA CHA CHAI KUFA MPONDE, ATAKA VIONGOZI WALIOHUSIKA WAWAJIBISHWE.













Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika kata ya Mponde, akiwa katika ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua, katika jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto mkoani Tanga,  Septemba 29, 2014.      Akizungumza na mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Kijiji cha Mponde, Kinana ameitaka serikali kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wote waliohusika kwa namna moja au nyingine...

 

10 years ago

Mwananchi

Walima matunda walilia kiwanda

Wakulima wa matunda na mbogamboga wilayani hapa, wameiomba Serikali itekeleze ahadi yake ya kuwajengea kiwanda cha kusindika matunda ili wajihakikishie soko la uhakika.

 

11 years ago

Mwananchi

Asilimia 51 ya watoto nchini hatarini kufa

Asilimia 51 ya watoto nchini imebainika hunyweshwa dawa zinazotibu ugonjwa wa malaria bila kuwa na ugonjwa huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Kilosa hatarini kufa njaa

WAKAZI wa kata za Magole, Kitete na Msowero, Tarafa ya Magole wilayani Kilosa, Morogoro wanakabiliwa na njaa baada ya mazao yao kulishwa  mifugo kusudi mashambani na kuharibiwa msimu wa mavuno...

 

11 years ago

Michuzi

KISARAWE YAPATA MATUNDA YA KALAMU EDUCATION FOUNDATION KWA KUZINDUA KITUO CHA MASOMO YA WATOTO CHA AWALI KATIKA MFUNGO WA RAMADHAN.

 Sheikh Suleiman Amran Kilemile Alipokuwa akifungua Kituo Cha Jamaat Islamiyyah Madrassa and Nursery School Cha Kisarawe. Sheikh Kilemile aliwahusia wazazi kuwasomesha watoto wao Masomo yote kwani husaidia kupata Viongozi Waadilifu na wenye Huruma katika Maendeleo ya Jamii.Sehemu ya Majengo ya Kituo Kipya cha Masomo ya Awali Cha Jamaat Islamiyya Kisarawe Pwani.  Sheikh Suleiman Kilemile akiwa na Mbunge wa Kisarawe Mh. Suleiman Jaffu pamoja na watoto wa Wilaya hiyo wakionyesha Matumaini Mapya...

 

11 years ago

Michuzi

kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro chaadhimisha miaka mitano ya kiutendaji

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene (kulia) akiingia katika ukumbi kwa ajili ya halfa fupi ya miaka mitano ya kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Joel Bendera (kushoto). Kiwanda hicho kinafanya kazi kwa leseni ya EPZA. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene akiongea wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AONGOZA KIKAO CHA KUTATUA MGOGORO WA KIWANDA CHA CHAI CHA LUPONDE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na   Ali Juma Mkangala ,mmoja washiriki wa Mkutano wa Kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha Liponda kilichopo Bumbuli Tanga. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi  ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Septemba  13, 2014.Mbunge wa Mlalo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Hassan Ngwilizi (kushoto) na Mbunge wa  Bumbuli , Januari Makamba (kulia) wakiteta na Waziri wa Kilimo , Chakula na Ushiriki Mhandisi Christopher  Chiza katika mkutano wa kutatua mgogoro wa kiwanda...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.
Akizungumza  jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lushoto kuwa kituo cha uzalishaji matunda

SERIKALI imeazimia kuifanya Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga kuwa kituo kikuu cha uzalishaji wa matunda na mbogamboga nchini kutokana na kuzalisha kwa wingi mazao hayo hadi kuuza nje ya nchi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani