Wanaume asilimia 49 wabambikiwa watoto
Ruth Mkeni, Dar es Salaam
ASILIMIA 49 ya matokeo ya uchunguzi wa Makosa ya Vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka, yanaonesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samweli Manyele, alisema asilimia 100 ya sampuli zinazofikishwa ofisini kwake kwa ajili ya uchunguzi zinaonesha kiwango hicho kuwa baba anayedhaniwa siye.
“Kesi zinazopelekwa katika maabara yetu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Asilimia 49 ya wanaume Tanzania, si wazazi halali wa watoto wao
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.
“Kesi zinazopokelewa katika maabara yetu zinazohusu...
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Asilimia 40 ya watoto wana udumavu
11 years ago
Mwananchi17 Jul
Asilimia 51 ya watoto nchini hatarini kufa
10 years ago
Habarileo30 Jan
‘Asilimia 90 ya watoto wote wanapata chanjo’
RAIS Jakaya Kikwete amesema asilimia 90 ya watoto wote wa Tanzania sasa wanapata chanjo kutokana na kazi inayofanywa na Taasisi ya Kusambaza Chanjo Duniani ya Global Alliance for Vaccines and Immunisazation (GAVI).
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Watoto asilimia 33 nchini wana upungufu Vitamin A
TAASISI ya Chakula na Lishe Tanzania, imesema asilimia 33 ya watoto walio na umri chini ya miaka 5 nchini wana upungufu wa vitamini A. Mtaalamu wa chakula na lishe kwa...
10 years ago
Tanzania Daima24 Oct
Asilimia 95 ya watoto kupewa chanjo ya surua na rubella
HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa inatarajia kutoa chanjo ya surua na rubella kwa watoto 111,711 na dawa za matende na mabusha kwa watu wazima 264,076 katika kampeni inayoendelea nchini. Akizungumza...
11 years ago
Habarileo10 Apr
Wanaume waaswa wasitelekeze watoto nje ya ndoa
WANAUME wameshauriwa kuacha kuwatelekeza watoto wao hasa wanaozaa nje ya ndoa.
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Wanaume nao wanaweza kunyonyesha watoto wao
10 years ago
CloudsFM11 Nov
SHOO YA BIRTHDAY YA MH.TEMBA, ASILIMIA 80 YA MAPATO KUCHANGIA WODI YA WATOTO HOSPITALI YA TEMEKE
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya msanii Amani Temba a.k.a Mheshimiwa Temba kutoka kundi ya TMK Wanaume Family.Usiku wa leo ameandaa shoo maalum ndani ya ukumbi wa Ikweta Grill, Temeke kiasi cha mapato kitaenda kuchangia wodi ya watoto katika hospitali ya Temeke, kama ilivyokuwa kwa bendi ya Yamoto Band mwishoni mwa mwezi wa tisa walipoambatana na timu nzima ya TMK Wanaume Temba kuchangia hospitalini hapo.