Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJENGO YABOMOKA MENGINE HATARINI KUWAANGUKIA WATOTO, MH. RIDHIWANI ASIKITISHWA

Diwani wa kata ya Kibindu Mawazo Mkufya aliyenyanyua mikono juu akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete kulia aliyevaa kofia ya kijani kufuatia mvua kubwa kubomoa madarasa ya shule ya Msingi Kibindu. Moja ya darasa la shule ya msingi Kibindu likiwa limebomoka kufuatia mvua kubwa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAJENGO YABOMOKA MENGINE HATARINI KUWAANGUKIA WATOTO,MH. RIDHIWANI ASIKITISHWA

Na John Gagarini, Kibindu
WANAFUNZI wa shule ya Msingi Kibindu wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wako hatarini kuangukiwa na vyumba vya madarasa wanayosomea kutokana na ubovu wa vyumba hivyo ambavyo vimejengwa miaka ya 50.
Mwishoni mwa mwaka jana vyumba vya madarasa mawili na ofisi ya mwalimu vilianguka na kuezua mapaa ya vyumba vine vya madarasa na ofisi ya mwalimu mkuu baada ya kutokea mvua kubwa amabyo iliambatana na kimbunga.
Shule hiyo ambayo ina wanafunzi 970 hawakuwepo shuleni kwani...

 

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif asikitishwa na ajira za watoto Wilaya ya Micheweni

 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia watoto wanaovyojihusisha na kazi ya uvunjaji wa kokoto katika Wilaya ya Micheweni, alipotembelea kikundi kinachojihusisha na kazi hiyo. Baadhi ya watoto wakijihusisha na kazi ya uvunjaji wa kokoto katika Wilaya ya Micheweni. Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia kazi ya useremala inayofanywa na wananchi wa kijiji cha Wingwi na maeneo mengine ya Wilaya ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bond asikitishwa na tuhuma za kuwa na watoto wanne na kumsababishia Wastara kuzimia

Mtangazaji, Mwigizaji na muongozaji wa filamu Bond Bin Sinnan ambae pia ni meneja wa mwigizaji Wastara Juma amejitoteza mtandaoni na kuonesha kupinga kile ambacho kilandikwa na magezi ya udaku kuwa ana watoto  watatuna na mmoja  amezaliwa majuzi  na baada ya Wastara kupigiwa simu mpenzi wazamani wa Bond, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ kujulishwa kuwa “demu” wa Bond amezaa na inadaiwa Wastara alizimia baada ya kusikia taarifa hizo.

Sasa jana Bond ameibuka na kubandika haya mtandaoni.

"Binadamu...

 

11 years ago

Mwananchi

Asilimia 51 ya watoto nchini hatarini kufa

Asilimia 51 ya watoto nchini imebainika hunyweshwa dawa zinazotibu ugonjwa wa malaria bila kuwa na ugonjwa huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wajawazito, watoto walivyo hatarini katika migodi Geita

Ni katika Kijiji cha Nyakabale kilichopo mjini Geita. Kijijini hapo kuna nyumba nyingi zilizojengwa, unazoweza kuzifananisha na makambi ya wakimbizi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake, watoto hatarini mgodini Geita maisha wawatesa waishio

Baadhi ya wanawake katika machimbo ya Nyarugusu wilayani Geita wakiwa wabeba watoto wao mgongoni wameendelea kufanya kazi ya kuponda mawe bila kujali maradhi yanayoweza kuwapata watoto wao.

 

9 years ago

Michuzi

WAFUGAJI CHALINZE SOMESHENI WATOTO, WASICHUNGE MIFUGO - RIDHIWANI

Na John Gagarini, Chalinze WAZAZI wa watoto wa wafugaji kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo wametakiwa kuachana na tabia ya kuwafanya watoto wao kuwa wachungaji wa mifugo huku wakikosa haki ya kupata elimu. Hayo yalisemwa kwenye na Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete Mazizi kata ya Msata wakati wa mkutano wa kampeni na kusema kuwa baadhi ya wazazi wa watoto wa wafugaji wanaendeleza utamaduni wa kutowapeleka watoto wao shule na kuwaacha...

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE AHANI MSIBA WA WATOTO WAWILI WALIOPOTEZA MAISHA BAADA YA KUTUMBUKIA KWENYE KISIMA CHA MAJI,KIWANGWA

 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa na Bw. Geofrey Nestory pamoja na Mkewe,Renata Pascal ambao ni Wazazi wa Watoto wawili,Jesca Geofrey (5) na Redempta Geofrey (2) waliopoteza maisha hivi karibuni kwa kutumbukia kwenye kisima cha maji,wakati alipofika Nyumbani kwa wazazi hao ambao ni Wakazi wa Kijiji cha Msinune,Kata ya Kiwangwa leo Machi 22,2014 kuhani msiba wa Watoto hao.Wazazi hao walimueleza Ndg....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani