Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Kifaru’ cha JWTZ chavamia nyumba


Watatu wafariki papo hapo, wamo wanajeshiWengine taabani hospitali, JWTZ yachunguza
Na Rashid Mussa, MtwaraWATU watatu wakiwemo askari wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamefariki dunia baada ya gari maalumu la kubebea askari la jeshi hilo kugonga nyumba katika Kijiji cha Mnollela mkoani Lindi.Katika ajali hiyo iliyotokea jana alfajiri wakati gari hilo likitokea Mtwara kwenda Masasi, askari wengine sita walijeruhiwa huku wawili kati yao wakiwa na hali mbaya.Kamanda wa Polisi wa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Kifaru chagonga nyumba, chaua watatu

KIFARU cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jana kiliacha njia na kugonga nyumba mbili za raia na kusababisha vifo vya watu watatu katika Kijiji cha Mnolela barabara kuu ya Mtwara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifaru: Mtibwa chuo cha mafunzo

KLABU ya Mtibwa Sugar ya Manungu, Morogoro, imetamba kuwa ni chuo cha mafunzo kutokana na timu kubwa hapa nchini kugombania kusajili wachezaji wao. Tambo hizo zimekuja kutokana na kuwa kila...

 

10 years ago

Mtanzania

Nyumba 6000 za JWTZ zakamilika

Mradi wa nyumba za askari wa JWTZ na JKT

Mradi wa nyumba za askari wa JWTZ na JKT

NA PATRICIA KIMELEMETA

SERIKALI imekamilisha ujenzi wa awamu ya kwanza wa nyumba 6,064 za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 300.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Josephat Musira, alisema kuwa lengo la ujenzi wa nyumba hizo ni kupunguza tatizo la uhaba wa nyumba kwa wanajeshi na watumishi wa wizara hiyo.

Alisema katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Gari maalumu la JWTZ laparamia nyumba, laua

Watu wawili wamefariki dunia papohapo na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), maalumu kwa ajili ya kubeba askari, kuacha njia na kugonga nyumba mbili za raia katika Kijiji cha Mnolela Manispaa ya Lindi.

 

9 years ago

Michuzi

JK ALIPOFUNGUA CHUO CHA UKAMANDA NA UNADHIMU CHA JWTZ ARUSHA

 Muonekano wa baadhi ya majengo ya Chuo cha Unadhimu na ukamanda. Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akitoa ushauri wakati akikagua majengo ya Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu kilichopo eneo la Duluti nje kidogo ya mji wa Arusha leo. Wapili kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda,kushoto ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, Wapili kushoto ni Mkuu wa chuo hicho Meja Jenerali Ezekiel Kyunga na kulia ni mwakilishi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu Balozi Ibrahim Al Suweidy.umoja wa Falme za...

 

10 years ago

Dewji Blog

JWTZ wategua bomu lilotegwa katika eneo la kituo cha kurushia matangazo cha TBC Songea

1 (2)

Bomu lililotengenezwa kienyeji  kama linavoonekana katika picha.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela akipata maelekezo kutoka kwa mtaaram wa mabomu ambaye ni kamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) kabla ya kulitegua bomu hili. 

Hili ni eneo la tukio ambalo limezungushiwa mkanda huu wa Polisi uliandikwa hairuhusiwi kupita eneo hili, Lakini chini ya huo mti kama inavoonekana katika picha kukiwa na udongo umetifuliwa ndipo mahala ambapo lilitegwa bomu hili...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: JWTZ WATEGUA BOMU LILOTEGWA KATIKA ENEO LA KITUO CHA KURUSHIA MATANGAZO CHA TBC SONGEA

 Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi la wananchi Tanzania(JWTZ) wamefanikiwa kulipua bomu lililotegwa katika eneo la kituo cha kurushia matangazo kilichopo mshangano cha shirika la utangazaji Tanzania (TBC) Songea Mkoani Ruvuma siku ya jana majira ya saa moja jioni.
Bomu hili linalosadikiwa kutengenezwa kienyeji nawatu wasiojulikana lilitegwa hatua  zinazokadiliwa thelathini kutoka kitika kituo kilipo katika eneo ambalo askari wa usalama barabarani wanakaa kwa ajili kufanya...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani