Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyumba 6000 za JWTZ zakamilika

Mradi wa nyumba za askari wa JWTZ na JKT

Mradi wa nyumba za askari wa JWTZ na JKT

NA PATRICIA KIMELEMETA

SERIKALI imekamilisha ujenzi wa awamu ya kwanza wa nyumba 6,064 za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 300.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Josephat Musira, alisema kuwa lengo la ujenzi wa nyumba hizo ni kupunguza tatizo la uhaba wa nyumba kwa wanajeshi na watumishi wa wizara hiyo.

Alisema katika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

‘Kifaru’ cha JWTZ chavamia nyumba


Watatu wafariki papo hapo, wamo wanajeshiWengine taabani hospitali, JWTZ yachunguza
Na Rashid Mussa, MtwaraWATU watatu wakiwemo askari wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamefariki dunia baada ya gari maalumu la kubebea askari la jeshi hilo kugonga nyumba katika Kijiji cha Mnollela mkoani Lindi.Katika ajali hiyo iliyotokea jana alfajiri wakati gari hilo likitokea Mtwara kwenda Masasi, askari wengine sita walijeruhiwa huku wawili kati yao wakiwa na hali mbaya.Kamanda wa Polisi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Gari maalumu la JWTZ laparamia nyumba, laua

Watu wawili wamefariki dunia papohapo na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), maalumu kwa ajili ya kubeba askari, kuacha njia na kugonga nyumba mbili za raia katika Kijiji cha Mnolela Manispaa ya Lindi.

 

10 years ago

Mwananchi

Safu za uongozi zakamilika

Chadema jana ilihitimisha kupanga safu yake ya uongozi kwa kuwachagua viongozi wa Taifa katika mkutano wake mkuu uliofanyika jijini hapa.

 

10 years ago

GPL

Taratibu za Tiba za Rais zakamilika

Taratibu za matibabu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (Pichani), zimekamilika leo, Jumatatu, Novemba 24, 2014.  Taratibu hizo za matibabu za Mheshimiwa Rais Kikwete zimekamilika kiasi cha saa 12 asubuhi ya leo wakati madaktari bingwa katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko mjini Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani, walipomfanyia hatua ya mwisho ya tiba.  Hata hivyo, Rais...

 

11 years ago

Mwananchi

Tozo za mfuko wa fidia zakamilika

Dodoma. Serikali imekamilisha kanuni za tozo zitakazowabana waajiri wote wa sekta binafsi nchini kuchangia uendeshaji wa mfuko wa fidia kwa wafanyakazi.

 

10 years ago

Vijimambo

TARATIBU ZA TIBA ZA RAIS JAKAYA KIKWETE ZAKAMILIKA

ETETHE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.com

Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425



PRESIDENT’S OFFICE,

      STATE HOUSE,

              1 BARACK OBAMA ROAD,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Taratibu za Tiba za Rais zakamilika

Taratibu za matibabu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,...

 

10 years ago

BBCSwahili

UN Watu 6000 wameuawa Ukraine

Ripoti ya umoja wa mataifa kuhusu haki za kibinadamu imesema kuwa hali inazidi kuzorota mashariki mwa Ukraine

 

9 years ago

IPPmedia

UN report: 6000 female students expelled annually


UN report: 6000 female students expelled annually
IPPmedia
At least 6,000 female students are expelled from secondary schools in Tanzania every year due to pregnancies, making over 55,000 cases in a decade, increasing dependency and poverty among communities, the UN report has revealed. Unveiling the ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TANAPA yatoa mabati 6000 ya miradi vijijini

SHIRIKA la umma la Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), limetoa mabati  6000, kwa ajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo katika vijiji vinavyozunguka hifadhi za taifa. Kauli hiyo ilitolewa jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani