Taratibu za Tiba za Rais zakamilika

Taratibu za matibabu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (Pichani), zimekamilika leo, Jumatatu, Novemba 24, 2014. Â Taratibu hizo za matibabu za Mheshimiwa Rais Kikwete zimekamilika kiasi cha saa 12 asubuhi ya leo wakati madaktari bingwa katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko mjini Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani, walipomfanyia hatua ya mwisho ya tiba. Â Hata hivyo, Rais...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
TARATIBU ZA TIBA ZA RAIS JAKAYA KIKWETE ZAKAMILIKA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITaratibu za Tiba za Rais zakamilikaTaratibu za matibabu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Fahamu taratibu zinazofuatwa baada ya kifo cha rais
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
MSEMAJI WA SERIKALI: Uteuzi wa Wakuu wapya wa Wilaya uliofanywa na Rais ulizingatia Sheria,Kanuni na taratibu
Mkurugenzi Idara ya Habari, Assah Mwambene (kulia) akionesha kitabu cha Katiba ya Tanzania kifungu kinachompa mamlaka Rais kufanya uteuzi ilikuboresha Serikali yake awapo madarakani. kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Vicent Tiganya. Mkutano huo umefanyika leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Kufuatia vyombo vya habari nchini kuripoti ...
11 years ago
Mwananchi15 Sep
Safu za uongozi zakamilika
11 years ago
Mtanzania05 Sep
Nyumba 6000 za JWTZ zakamilika

Mradi wa nyumba za askari wa JWTZ na JKT
NA PATRICIA KIMELEMETA
SERIKALI imekamilisha ujenzi wa awamu ya kwanza wa nyumba 6,064 za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 300.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Josephat Musira, alisema kuwa lengo la ujenzi wa nyumba hizo ni kupunguza tatizo la uhaba wa nyumba kwa wanajeshi na watumishi wa wizara hiyo.
Alisema katika...
11 years ago
Mwananchi25 May
Tozo za mfuko wa fidia zakamilika
10 years ago
VijimamboRais Kikwete Afungua Hospitali ya Utafiti na Tiba Dodoma
10 years ago
StarTV15 Aug
Ukosefu wa vifaa tiba hospitali wachangia watu kutumia tiba za jadi.
Tiba ya Asili ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2002 baada ya sheria namba 23 ya Tiba Mbadala kupitishwa.
Katika Kituo cha Afya cha Jamii Mjini Kahama,...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
TIBA MBADALA: Kunywa maji ya moto ni tiba ya magonjwa mengi