Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kifaru chagonga nyumba, chaua watatu

KIFARU cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jana kiliacha njia na kugonga nyumba mbili za raia na kusababisha vifo vya watu watatu katika Kijiji cha Mnolela barabara kuu ya Mtwara...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

‘Kifaru’ cha JWTZ chavamia nyumba


Watatu wafariki papo hapo, wamo wanajeshiWengine taabani hospitali, JWTZ yachunguza
Na Rashid Mussa, MtwaraWATU watatu wakiwemo askari wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamefariki dunia baada ya gari maalumu la kubebea askari la jeshi hilo kugonga nyumba katika Kijiji cha Mnollela mkoani Lindi.Katika ajali hiyo iliyotokea jana alfajiri wakati gari hilo likitokea Mtwara kwenda Masasi, askari wengine sita walijeruhiwa huku wawili kati yao wakiwa na hali mbaya.Kamanda wa Polisi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifusi chaua watatu Geita

WATU watatu wamefariki dunia katika eneo la Kukuruma linalomilikiwa na mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine (GGM) baada ya kuangukiwa na kifusi cha udongo walipokwenda kuchimba mawe yanayodhaniwa kuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kifusi chaua watu watatu Dar

WATU watatu wamekufa katika machimbo ya mawe eneo la Bunju Kilungule baada ya gema kukatika na kuwafunika. Watu hao ni Juma Mohamed (25) utingo wa lori, Juma Ngulumbai (45) opereta wa karasha na Ally Msalaga(45) dalali wote wakazi wa Bunju. Tukio hilo lilitokea Aprili 4 saa 5:00 asubuhi.

 

11 years ago

CloudsFM

LORI LAACHA NJIA LAGONGA NYUMBA LAUA WATANO PAPO HAPO,LAJERUHI WATATU IRINGA

AJALI mbaya ya gari im,etokea usiku wa leo mkoani Iringa baada ya lori la mizigo lenye namba za usajili T 801 ACD lililokuwa likielekea mkoani Mbeya kuacha njia na kugonga nyumba iliyokuwa ikitumiwa kama sehemu ya klabu cha kuuzia pombe za kienyeji na kusababisha vifo vya watu watano papop hapo wakiwemo watatu wa familia moja.Tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa leo katika eneo la njia panda ya makumbusho ya Isimila kata ya Mseke wilaya ya Iringa katika barabara kuu ya Iringa -...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifaru: Mtibwa chuo cha mafunzo

KLABU ya Mtibwa Sugar ya Manungu, Morogoro, imetamba kuwa ni chuo cha mafunzo kutokana na timu kubwa hapa nchini kugombania kusajili wachezaji wao. Tambo hizo zimekuja kutokana na kuwa kila...

 

11 years ago

Mwananchi

Kifaru; Ofisa wa Mtibwa aliyezaliwa kichakani

Wadau wengi wa soka wamekuwa wakivutiwa na sauti, tambo na majigambo ya ofisa habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru Ligalambwike, lakini siri yake kubwa ni ushujaa na utundu wake.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kifaru asafirishwa kilomita 16,000 akazalishe

Kifaru ndume mmoja amesafirishwa umbali za kilomita 16,000 kutoka Marekani hadi Indonesia ili akazalishe.

 

10 years ago

Mwananchi

Kifaru aaga dunia baada ya kula kitenesi akidhani tufaa

Kifaru wa kufugwa katika mbuga moja ya wanyama nchini Ujerumani amefariki dunia baada ya kula kitenesi akidhani ni tunda la tufaa(apple).

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CBA YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 5 KWAAJILI YA UJENZI WA HOSTELI YA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIFARU MWANGA

SAM_2053Meneja masoko wa benki ya CBA Tanzania Solomon Kawishe kushoto,Meneja masoko Moshi Eliud Marko katikati wakimkabidhi mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Kifaru Abdallah Mwomboke iliyopo katika kijiji cha kituri kata ya kileo wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro hundi ya shilingi Milioni tano yenye thamani ya zaidi ya mifuko 300 ya saruji kwaajili ya ujenzi wa Hosteli ya wasichana katika shule hiyo ,msaada huo ni sehemu ya kamapeni ya Book by Book inayoendeshwa na benki ya CBA ikilenga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani