Kifusi chaua watu watatu Dar
WATU watatu wamekufa katika machimbo ya mawe eneo la Bunju Kilungule baada ya gema kukatika na kuwafunika. Watu hao ni Juma Mohamed (25) utingo wa lori, Juma Ngulumbai (45) opereta wa karasha na Ally Msalaga(45) dalali wote wakazi wa Bunju. Tukio hilo lilitokea Aprili 4 saa 5:00 asubuhi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Kifusi chaua watatu Geita
WATU watatu wamefariki dunia katika eneo la Kukuruma linalomilikiwa na mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine (GGM) baada ya kuangukiwa na kifusi cha udongo walipokwenda kuchimba mawe yanayodhaniwa kuwa...
11 years ago
Habarileo14 Dec
Kifusi chaua watu sita
WATU sita wakiwemo wanafunzi wawili wamekufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba mchanga katika eneo la Pumwani wilayani Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro. Tayari serikali imeyafunga machimbo yote mkoani humo yakiwamo yaliyosababisha vifo hivyo, ili kuepusha athari zaidi kwa wachimbaji wengine, ikizingatiwa kuna mvua za vuli zinazoendelea maeneo mbalimbali nchini.
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Gema la kifusi laua watatu Dar
WAKAZI watatu wa Bunju, Kinondoni jijini Dar es Salaam, wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na gema la kifusi cha mawe walichokuwa wakipandisha kwenye gari. Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo, Kamanda...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WATATU WAFARIKI KWA KUFUKIWA KIFUSI MACHIMBONI DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hXj4gw9-MpOOByFzpGCCrYzYUdPR2o7LNfonxSEDrJkdNWSHrGyxEHwUdYqjyP6I2lkaG-Ys8kC3ai546N9p3P7G5mUApLhT/140730111118_india_landslide_304x171_afp_nocredit.jpg?width=600)
KIFUSI CHAUA 21 INDIA
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Kifaru chagonga nyumba, chaua watatu
KIFARU cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jana kiliacha njia na kugonga nyumba mbili za raia na kusababisha vifo vya watu watatu katika Kijiji cha Mnolela barabara kuu ya Mtwara...
11 years ago
Habarileo04 Apr
Ajali zaua watu watatu Dar
WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti ya ajali za barabarani, ikiwemo mwendesha pikipiki, Arnold Lukoga (38) aliyekufa baada ya kuangukia kichwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke,Dar es Salaam, Engelbert Kiondo alisema ajali hiyo ilitokea jana saa 2:30 usiku katika Barabara ya Nyerere eneo la Tazara.
10 years ago
GPLWATU WATATU WANUSURIKA KUFA KWA AJALI DAR
10 years ago
Habarileo30 Aug
‘Kipanya’ chaua watu 10
Watu kumi akiwemo mama na mwanawe wamekufa na wengine wanane kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Hiace waliyokuwa wanasafiria kugongana na lori katika mji mdogo wa Mbalizi, Wilaya ya Mbeya Vijijini.