Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gema la kifusi laua watatu Dar

WAKAZI watatu wa Bunju, Kinondoni jijini Dar es Salaam, wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na gema la kifusi cha mawe walichokuwa wakipandisha kwenye gari. Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo, Kamanda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kifusi chaua watu watatu Dar

WATU watatu wamekufa katika machimbo ya mawe eneo la Bunju Kilungule baada ya gema kukatika na kuwafunika. Watu hao ni Juma Mohamed (25) utingo wa lori, Juma Ngulumbai (45) opereta wa karasha na Ally Msalaga(45) dalali wote wakazi wa Bunju. Tukio hilo lilitokea Aprili 4 saa 5:00 asubuhi.

 

11 years ago

GPL

WATATU WAFARIKI KWA KUFUKIWA KIFUSI MACHIMBONI DAR

Shughuli ya uokoaji ikiendelea. Waokoaji baada ya kugundua mwili ulipo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifusi chaua watatu Geita

WATU watatu wamefariki dunia katika eneo la Kukuruma linalomilikiwa na mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine (GGM) baada ya kuangukiwa na kifusi cha udongo walipokwenda kuchimba mawe yanayodhaniwa kuwa...

 

10 years ago

GPL

SHAMBULIO LA MAGURUNETI LAUA WATATU BUJUMBURA

Shambulio mjini Bujumbura. Watu watatu wameripotiwa kuuawa kwa shambulizi la guruneti jijini Bujumbura. Polisi nchini Burundi wamesema kuwa, watu wasiojulikana jana walivurumisha maguruneti mawili katika duka moja jijini Bujumbura na kupelekea watu watatu kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa. Jenerali Godefroid Bizimana naibu kamanda mkuu wa polisi nchini Burundi amesema kuwa, Polisi wameimarisha ulinzi na usalama wa eneo...

 

10 years ago

Mwananchi

Bomu laua watatu, dereva wa jaji auawa

Watu watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya mtu anayesadikiwa kuwa ni jambazi, kurusha bomu ndani ya basi dogo aina ya Toyota Hiace lililokuwa likitoka Kilelema kwenda Kasulu, Kigoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka, laua watatu Mbeya

>Ilikuwa ni kama marudio ya ajali ya mwaka 2002, lakini ukubwa wa athari za tukio la jana unatofautiana baada ya watu watatu kufariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa wakati wakijaribu kuchota mafuta kutoka kwenye lori lililopinduka katika Kijiji cha Idweli.

 

10 years ago

Mwananchi

Bomu latupwa ndani ya basi Kigoma, laua watatu na kuacha sita taabani

Watu watatu wamekufa, akiwemo mtoto mchanga ambaye mashuhuda wanasema "alitupwa nje," baada ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace kurushiwa bomu na watu wasiojulikana huko Kasesema, Kigoma alfajiri ya leo.

 

11 years ago

CloudsFM

LORI LAACHA NJIA LAGONGA NYUMBA LAUA WATANO PAPO HAPO,LAJERUHI WATATU IRINGA

AJALI mbaya ya gari im,etokea usiku wa leo mkoani Iringa baada ya lori la mizigo lenye namba za usajili T 801 ACD lililokuwa likielekea mkoani Mbeya kuacha njia na kugonga nyumba iliyokuwa ikitumiwa kama sehemu ya klabu cha kuuzia pombe za kienyeji na kusababisha vifo vya watu watano papop hapo wakiwemo watatu wa familia moja.Tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa leo katika eneo la njia panda ya makumbusho ya Isimila kata ya Mseke wilaya ya Iringa katika barabara kuu ya Iringa -...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani