Kifusi chaua watu sita
WATU sita wakiwemo wanafunzi wawili wamekufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba mchanga katika eneo la Pumwani wilayani Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro. Tayari serikali imeyafunga machimbo yote mkoani humo yakiwamo yaliyosababisha vifo hivyo, ili kuepusha athari zaidi kwa wachimbaji wengine, ikizingatiwa kuna mvua za vuli zinazoendelea maeneo mbalimbali nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Apr
Kifusi chaua watu watatu Dar
WATU watatu wamekufa katika machimbo ya mawe eneo la Bunju Kilungule baada ya gema kukatika na kuwafunika. Watu hao ni Juma Mohamed (25) utingo wa lori, Juma Ngulumbai (45) opereta wa karasha na Ally Msalaga(45) dalali wote wakazi wa Bunju. Tukio hilo lilitokea Aprili 4 saa 5:00 asubuhi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hXj4gw9-MpOOByFzpGCCrYzYUdPR2o7LNfonxSEDrJkdNWSHrGyxEHwUdYqjyP6I2lkaG-Ys8kC3ai546N9p3P7G5mUApLhT/140730111118_india_landslide_304x171_afp_nocredit.jpg?width=600)
KIFUSI CHAUA 21 INDIA
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Kifusi chaua watatu Geita
WATU watatu wamefariki dunia katika eneo la Kukuruma linalomilikiwa na mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine (GGM) baada ya kuangukiwa na kifusi cha udongo walipokwenda kuchimba mawe yanayodhaniwa kuwa...
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Kipindupindu chaua Mbeya, sita walazwa
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Sita wafa baada kifusi kuwafunika
10 years ago
Habarileo30 Aug
‘Kipanya’ chaua watu 10
Watu kumi akiwemo mama na mwanawe wamekufa na wengine wanane kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Hiace waliyokuwa wanasafiria kugongana na lori katika mji mdogo wa Mbalizi, Wilaya ya Mbeya Vijijini.
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Kimbunga chaua watu 43 Marekani
10 years ago
Habarileo19 Oct
Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita
MWANAFUNZI wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.
11 years ago
Mwananchi04 May
Watu zaidi ya 2,500 wafukiwa na kifusi