Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIFUSI CHAUA 21 INDIA

Muonekano wa maporomoko India. Zaidi ya watu 200 wanahofiwa kukwama katika maporomoko ya udongo nchini India,huku 20 wakithibitishwa kufariki dunia katika kijiji cha Malin karibu na mji wa Pune lilikotokea janga hilo. Kazi ya uokoaji inaendelea katika eneo hilo huku hali ya hewa mbaya ikidaiwa kuchelewesha harakati hizo. Vikosi vya uokoaji vimeendelea na kazi ya kuwanusuru waliofukiwa na maporomoko ya udogo huo, japo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kifusi chaua watu sita

WATU sita wakiwemo wanafunzi wawili wamekufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba mchanga katika eneo la Pumwani wilayani Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro. Tayari serikali imeyafunga machimbo yote mkoani humo yakiwamo yaliyosababisha vifo hivyo, ili kuepusha athari zaidi kwa wachimbaji wengine, ikizingatiwa kuna mvua za vuli zinazoendelea maeneo mbalimbali nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifusi chaua watatu Geita

WATU watatu wamefariki dunia katika eneo la Kukuruma linalomilikiwa na mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine (GGM) baada ya kuangukiwa na kifusi cha udongo walipokwenda kuchimba mawe yanayodhaniwa kuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kifusi chaua watu watatu Dar

WATU watatu wamekufa katika machimbo ya mawe eneo la Bunju Kilungule baada ya gema kukatika na kuwafunika. Watu hao ni Juma Mohamed (25) utingo wa lori, Juma Ngulumbai (45) opereta wa karasha na Ally Msalaga(45) dalali wote wakazi wa Bunju. Tukio hilo lilitokea Aprili 4 saa 5:00 asubuhi.

 

10 years ago

GPL

KIMBUNGA CHAUA 6 NCHINI INDIA

Upepo mkali ukivuma leo katika ufukwe wa Gopalpur huko Orissa, India. Taswira kutoka katika Hoteli ya Park iliyopo Visakhapatnam wakati kimbunga hicho kikipita. WATU sita wamepoteza maisha nchini India baada ya kimbunga kiitwacho Hudhud kupiga eneo la pwani ya India kikiwa na…

 

9 years ago

BBCSwahili

Kimbunga chaua Ufilipino

Waokoaji Kaskazini mwa Ufilipino wanachimbua ardhini kwa lengo kutafuta mamia ya wachimba madini, baada ya kukumbwa na kimbunga.

 

10 years ago

Habarileo

‘Kipanya’ chaua watu 10

Watu kumi akiwemo mama na mwanawe wamekufa na wengine wanane kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Hiace waliyokuwa wanasafiria kugongana na lori katika mji mdogo wa Mbalizi, Wilaya ya Mbeya Vijijini.

 

9 years ago

Habarileo

Kipindupindu chaua 2 Dodoma

WAKAZI wawili wa wilaya ya Kongwa mkoani hapa, wamefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wa kipindupindu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua 21 Mwanza

Watu 21 wamefariki dunia na wengine 670 kulazwa katika kambi mbalimbali kutokana na kuugua kipindupindu tangu kilichoibuka mkoani Mwanza Septemba.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua 17 Mwanza

Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuleta maafa mkoani hapa, baada ya kusababisha vifo vya watu 17 na wengine 268 kulazwa katika vituo mbalimbali vya afya tangu Septemba, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani