Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIFO CHA FILIKUNJOMBE, MAPYA YAIBUKA

Na Waandishi Wetu NI mapya! Ni kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), marehemu Deogratius Haule Filikunjombe ‘Deo’ (43) kilichotokea Oktoba 15, mwaka huu kwenye Hifadhi ya Wanyama ya Selous kwa kuanguka na helikopta, mapya yameibuka, moja ikidaiwa kuwa, kumbe Deo aliruka kabla ya chombo hicho kufika chini....Soma zaidi====>http://bit.ly/1jy96SV ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAZITO YAIBUKA KIFO CHA KIGOGO CCM

Na Mashaka Baltazar, Mwanza
MAMBO mazito yameibuka baada ya kifo cha kigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Diwani wa Kata  ya Kisesa, Clement Mabina jijini Mwanza  kwa mwanasiasa mmoja kutajwa kuhusika na mauaji hayo, Risasi Mchanganyiko limeambiwa. Clement Mabina enzi za uhai wake. Habari zilizosambaa jijini hapa zinadai kwamba  mwanasiasa huyo (jina kapuni) andaiwa kuwagawia fedha baadhi ya wanakijiji waliohusika...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBI LAMBI KUFUATIA KIFO CHA FILIKUNJOMBE

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameeleza mshituko wake mkubwa na huzuni yake nyingi, akiomboleza kifo cha Mbunge wa Ludewa, Mkoa wa Njombe, Mheshimiwa Deo Filikunjombe ambaye alifariki katika ajali ya helikopta usiku wa kuamkia leo, Ijumaa, Oktoba 16, 2015 katikati ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Selous, Mkoa wa Morogoro.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Anna Semamba Makinda, Rais Kikwete...

 

11 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA!

Stori: Denis Mtima na Gabriel Ng’osha
Nyuma ya tukio la denti wa darasa la tano kwenye shule moja ya msingi iliyopo Mbezi-Shamba, Dar, aliyejitambulisha kwa jina moja la Irene (11) la kunaswa akifanya utapeli kwa kuwaibia raia, mazito yameibuka. Denti wa darasa la tano anayetambulika kwa jina moja la Irene (11) aliyenaswa akiwatapeli raia. Katika tukio hilo lililojiri hivi karibuni maeneo ya Posta Mpya, Dar, denti huyo...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli apokea kwa masikitiko kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule,

Pichani Kulia ni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe (enzi za uhai wake),wakati Dkt Mgufuli alipopita kwenye jimbo hilo wakati wa kampeni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na huzuni nyingi taarifa za vifo vya Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule, Kepteni William Silaa pamoja na abiria wengine wawili ambao wameaga...

 

10 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA MASHAMBULIZI

Na Haruni Sanchawa TUKIO la abiria Mosha Mahona kuwajeruhi abiria wenzake watano aliokuwa nao ndani ya daladala lililokuwa gumzo wiki iliyopita jijini Dar, nyuma ya tukio hilo mapya yameibuka, Uwazi linakujuza. Tukio hilo lililotokea Julai 23, mwaka, Mosha alikuwa amepanda daladala hilo akitokea Posta kuelekea Ubungo Simu 2000, alipofika maeneo ya Jangwani akaanza kuwachoma visu abiria wenzake kisha na yeye kuuawa na abiria....

 

10 years ago

GPL

Rufaa ya Cheka, mapya yaibuka

Francis Cheka
Na Ibrahim Mussa
Dar es SalaamRAIS wa Oganaizesheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO), Yasin Abdallah ‘Ustaadh’ ameibuka na kufunguka kuwa amevunja kamati yote iliyokuwa inashughulikia rufaa ya kesi ya bondia wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka ‘SMG’ kwa kuwa wengi wao hawakuwa wakweli. Cheka, leo Jumamosi anatimiza siku ya ishirini tangu awe gerezani kutokana na kifungo cha miaka...

 

10 years ago

Mtanzania

Mapya yaibuka mkoani Tanga

Na Amina Omari, TANGA
JESHI la Polisi nchini limesema katika msako unaoendelea katika mapango ya Mleni mkoani hapa, ambayo watu wanaodaiwa kuhusika katika matukio ya uporaji silaha walikuwa wamejificha, wamefanikiwa kukuta ngedere watatu wakiwa wamekufa huku wakiwa na majeraha.
Pamoja na hilo pia jeshi hilo limefanikiwa kumtia mbaroni mtuhumiwa mmoja ambaye wamemkuta na bunduki aina ya SMG ambayo ni mali ya jeshi hilo pamoja na risasi 20.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mapya yaibuka uchaguzi Simba

WAKATI uchaguzi mkuu wa Simba ukiwa bado gizani, mengine yamezidi kuibuka baada ya kudaiwa Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo chini ya Mwenyekiti wake Dk. Damas Ndumbaro ni batili kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani