Kifo cha Mandela:Maelfu waomboleza
Maombolezo ya Kiongozi wa kwanza wa Afrika kusini Nelson Mandela yaingia siku ya pili hii leo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Sep
Waomboleza kifo cha Nyani India
Wanakijiji 200 nchini India walinyoa nywele kama ishara ya kuomboleza kifo cha Nyani mmoja aliyekuwa akiishi akribu na hekalu.
11 years ago
GPL
CHADEMA WAOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi na Mbunge wa Kalenga, Dkt. William Mgimwa ambaye amefariki akiwa kwenye matibabu Afrika Kusini. Kwa masikitiko makubwa CHADEMA kinatuma salaam za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwa kuondokewa na msaidizi wake wa karibu na mtumishi mwenzake serikalini. Chama kinatoa...
10 years ago
Bongo519 Jan
Van Vicker, Genevieve, Rita Dominic waomboleza kifo cha muigizaji wa Nollywood, Muna Obiekwe
Waigizaji wa Nollywood na mastaa wengine wa Nigeria wametumia mitandao ya kijamii kuelezea kuhuzunishwa kwao na kifo cha ghafla cha muigizaji maarufu wa Nigeria, Muna Obiekwe. Marehemu Muna Obiekwe Staa huyo alifariki Jumapili, January 18, 2015 kutokana na kushindwa kufanya kazi kwa figo zake. Miongoni mwa waliotuma salamu zao za rambi rambi ni pamoja na […]
11 years ago
GPL
UNDANI KIFO CHA MANDELA
SIYO habari tena, kwani dunia nzima inajua kuhusu kifo cha shujaa wa Afrika, nembo ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, komredi aliyefungwa jela miaka 27 akitetea usawa baina ya wananchi wa Afrika Kusini, Nelson Rolihlahla Mandela.
Risasi Jumamosi, kwa msaada wa vyanzo mbalimbali, linamulika kwa undani chanzo hasa cha kifo cha Mandela, aliyefikwa na mauti usiku wa kuamkia jana, Desemba 5, mwaka huu akiwa na umri wa miaka 95. ...
11 years ago
BBCSwahili06 Dec
Dunia yaomboleza kifo cha Mandela
Viongozi wa dunia pamoja na wananchi wamejitokeza katika sehemu nyingi duniani pamoja na Afrika Kusini wakiomboleza kifo cha kiongozi wao Mandela
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Kifo cha George Floyd: Maelfu wajitokeza Marekani kushiriki mandamano usiku kucha
Maandamano juu ya kifo cha raia mweusi wa Marekani George Floyd bado yanaendelea kwa usiku wa nane mfululizo
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
India: Baba azika ua kuchoma maelfu ya miili ya watu kujifariji kwa kifo cha mtoto wake
Mohammad “Mjomba” Shareef amezika ama kuchoma maelfu ya miili ya watu kwa miaka 28 kaskazini mwa India mji wa Ayodhya. Mtoto wake wa kiume aliuawa katika vita 1992 na mwili wake haukuwahi kuonekana zaidi ya nguzo zake tu.
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Wasomi: Kifo cha Nelson Mandela hakitaathiri siasa za Afrika Kusini
Kifo cha Shujaa aliyepigania Uhuru wa Afrika Kusini, Nelson Mandela kimedaiwa hakitaathiri kwa namna yoyote mwelekeo wa siasa na uchumi wa nchi hiyo kwa siku zijazo.
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Maelfu wakwama kumuaga Mandela
Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wameshindwa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza mzalendo wa nchi hiyo, Nelson Mandela kutokana na muda uliopangwa kumalizika.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania