Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNDANI KIFO CHA MANDELA

SIYO habari tena, kwani dunia nzima inajua kuhusu kifo cha shujaa wa Afrika, nembo ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, komredi aliyefungwa jela miaka 27 akitetea usawa baina ya wananchi wa Afrika Kusini, Nelson Rolihlahla Mandela.
Risasi Jumamosi, kwa msaada wa vyanzo mbalimbali, linamulika kwa undani chanzo hasa cha kifo cha Mandela, aliyefikwa na mauti usiku wa kuamkia jana, Desemba 5, mwaka huu akiwa na umri wa miaka 95. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UNDANI WA KIFO CHA KEPTENI JOHN KOMBA!

Marehemu Kapteni Komba. Picha ya kwanza ya Marehemu komba mara baada ya kufariki dunia.…

 

10 years ago

GPL

UNDANI KIFO CHA MKE WA ALI CHOKI

Stori: Gladness Mallya
Majonzi! Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ali Choki amepata pigo kubwa la kufiwa na mkewe, Shuea Hamis ‘Mama Shuu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu. Aliyekuwa mke wa Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ali Choki, marehemu Shuea Hamis ‘Mama Shuu’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa masikitiko, Choki alisema kwamba...

 

11 years ago

BBCSwahili

Dunia yaomboleza kifo cha Mandela

Viongozi wa dunia pamoja na wananchi wamejitokeza katika sehemu nyingi duniani pamoja na Afrika Kusini wakiomboleza kifo cha kiongozi wao Mandela

 

11 years ago

BBCSwahili

Kifo cha Mandela:Maelfu waomboleza

Maombolezo ya Kiongozi wa kwanza wa Afrika kusini Nelson Mandela yaingia siku ya pili hii leo

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi: Kifo cha Nelson Mandela hakitaathiri siasa za Afrika Kusini

Kifo cha Shujaa aliyepigania Uhuru wa Afrika Kusini, Nelson Mandela kimedaiwa hakitaathiri kwa namna yoyote mwelekeo wa siasa na uchumi wa nchi hiyo kwa siku zijazo.

 

10 years ago

GPL

UNDANI WA ASKOFU ALIYEJITANGAZA KIFO, AKAFA KWELI

MSHTUKO! Kifo cha Askofu na Nabii wa Kanisa la The Pool of Siloam lililopo Mbezi-Makonde, Kinondoni, Dar es Salaam, Elia Munuo almaarufu kwa jina la Adam wa Pili, Mungu wa Majeshi, kimeacha ‘sintofahamu’ kwa kuwa kiongozi huyo alitabiri na kutangaza tukio hilo na likawa kweli, Ijumaa Wikienda limechimba undani wa tukio hilo. Askofu, Elia Munuo almaarufu kwa jina la Adam wa Pili, Mungu wa Majeshi. Kwa mujibu wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

11 years ago

Habarileo

Aliyemuona Mandela dakika 90 kabla ya kifo asimulia

DAKIKA za mwisho za maisha yake, Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, hakuwa akitumia mashine ya kumsaidia kupumua.

 

11 years ago

Bongo5

Dunia yaadhimisha Mandela Day ya kwanza tangu kifo chake

Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96. Kwa miaka mitano sasa mamilioni ya watu duniani wamekuwa wamekuwa wakijitolea dakika 67 za muda wao kila July 18 kuadhimisha miaka 67 ya harakati […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani