Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIFO CHA RECHO...

Na Waandishi Wetu
Maskini! Wakati tasnia ya filamu Bongo ikiwa katika majonzi ya kuondokewa na ‘dairekta’ na mwigizaji mkubwa, Adam Phillip Kuambiana (38), pigo lingine limetokea kwa wasanii hao kwa kuondokewa na kichwa kingine, Sheila Haule ‘Recho’ (26).Recho alikutwa na umauti Mei 26, mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar alipokuwa amelazwa baada ya kujifungua kwa oparesheni Mei 25,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAYA: KIFO CHA RECHO KIMENIPA SOMO

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amewataka wasanii wenzake kusameheana na kupendana kwani kifo cha msanii mwenzao, Sheila Haule ‘Recho’ kimempa fundisho kubwa. Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni katika mazishi ya marehemu Recho Haule wengi wao wakiwa ni wasanii wa Bongo Muvi. Akizungumza na paparazi wetu, Maya alisema vifo vya wasanii vinavyotokea...

 

11 years ago

GPL

MBOTO: SAGUDA ALIKIONA KIFO CHA RECHO

Stori: Shakoor Jongo KOMEDIAN mahiri Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ amefunguka kuwa Saguda alikijua kifo cha mpenzi wake, Sheila Haule ‘Recho’ kutokana na kauli zake alizokuwa akimwambia pindi alipokuwa akimuomba acheze filamu na mkewe kisha akafariki kabla haijatoka. Saguda akiwa na siamanzi baada ya kuondokewa na mkewe Recho Haule. Akizungumza katika mahojiano maalum aliyofanya na paparazi wa Global TV...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

10 years ago

GPL

FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY

Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' enzi za uhai wake. Familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo chake. Familia hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki dunia akiwa hospitali. Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa...

 

10 years ago

GPL

CHUO CHA IMAMU JAFAR SWADIQ CHAADHIMISHA KIFO CHA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)

Sheikh Hemed Jalala akiwahutubia waumini (Hawapo pichani). Baadhi ya viongozi wakiwa meza kuu.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Sina cha Kusema Wala Tamko Kuhusu Kifo cha Seki

Kufuatia kuhusishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu Bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita, Staa wa Bongo Movies Elizaberth Michael ‘Lulu’ amesema hana la kusema na hana tamko lolote fufuatia kifo cha Seki.

Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda Juzi, lililotaka kujua taarifa za yeye kuhusishwa na bilionea huyo pamoja na mambo mengine, Lulu alijibu kwa kifupi;

Mwandishi: “Lulu kwanza tumesikia unaumwa na umelazwa, ni kweli?”

Lulu: “Siyo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATIA SANI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA NKURUNZIZA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre  Nkurunziza kwenye Ubalozi wa Burundi, Upanga jijini Dar es salaam, Juni 17, 2020. Wa pili kulia ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Abayeho Gervais.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitoa heshima baada ya kutia saini kitabu cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani