MAYA: KIFO CHA RECHO KIMENIPA SOMO
![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d5sAHL-pXUKDAZ1wJ4jmmaRJNw2LpMaWeRob8TjSUla2lQyS4A-NA5EVrLv10f8c3wkNPYjM2VQbOiIIbffRwUH/maya.jpg)
Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amewataka wasanii wenzake kusameheana na kupendana kwani kifo cha msanii mwenzao, Sheila Haule ‘Recho’ kimempa fundisho kubwa. Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni katika mazishi ya marehemu Recho Haule wengi wao wakiwa ni wasanii wa Bongo Muvi. Akizungumza na paparazi wetu, Maya alisema vifo vya wasanii vinavyotokea...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MjUiWVyv*JJoClo4omQ1fzYD--5fqPWclFMjkS4LLAOvd9oaIWytcleQoLeoaYY89OuCH47P9cqs5tBWF*onVvuxylDA-Qx-/recho.jpg)
KIFO CHA RECHO...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d7qNNnP1qtfjWK2X*KGjvUpUlf92KKnGSL9IQiNsArK2jSm2OT42RpE2fdK2PxS1DtRs-UTQtpdVEBlnor87XAj/saguda.jpg)
MBOTO: SAGUDA ALIKIONA KIFO CHA RECHO
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bgWZynVz*oWPxSnpdx81*nEWKnfR3YzfSf-rKjECbrgybhW*Lm71cHR*WwDE5OZ1owfBZc4HOPQOKXfTAK2yAQMGr3bGNgag/secky2.jpg)
FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Lulu: Sina cha Kusema Wala Tamko Kuhusu Kifo cha Seki
Kufuatia kuhusishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu Bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita, Staa wa Bongo Movies Elizaberth Michael ‘Lulu’ amesema hana la kusema na hana tamko lolote fufuatia kifo cha Seki.
Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda Juzi, lililotaka kujua taarifa za yeye kuhusishwa na bilionea huyo pamoja na mambo mengine, Lulu alijibu kwa kifupi;
Mwandishi: “Lulu kwanza tumesikia unaumwa na umelazwa, ni kweli?”
Lulu: “Siyo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gctU6T8RFoE/Xuo3iptHHsI/AAAAAAALuRw/TbBCpclqoEEGK63kb9vuUpiSYwl2-QbawCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_2103AAA-768x510.jpg)
WAZIRI MKUU ATIA SANI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA NKURUNZIZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-gctU6T8RFoE/Xuo3iptHHsI/AAAAAAALuRw/TbBCpclqoEEGK63kb9vuUpiSYwl2-QbawCLcBGAsYHQ/s640/PMO_2103AAA-768x510.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kwenye Ubalozi wa Burundi, Upanga jijini Dar es salaam, Juni 17, 2020. Wa pili kulia ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Abayeho Gervais.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PMO_2113AAAA-1024x610.jpg)
10 years ago
GPLCHUO CHA IMAMU JAFAR SWADIQ CHAADHIMISHA KIFO CHA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
10 years ago
GPL17 Feb
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Kenya yatangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya corona