Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigamboni wamkaba koo Waziri Tibaijuka

Viongozi wa Mji wa Kigamboni wamemtaka Waziri wa Ardhi na Maendeleo na Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kuharakisha malipo ya fidia kwa wakazi watakaopisha ujenzi wa mji mpya na kuacha mikutano ya hadhara isiyokuwa na tija.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watendaji wakuu nchini wamkaba koo Muhongo

Mwenyekiti wa Shirikisho la Watendaji Wakuu wa Makampuni nchini (CEO Roundtable -Tanzania), Ali Mufuruki amesema Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameonyesha kuwa hastahili kuongoza sekta muhimu kama hiyo kutokana na maneno yake ya kuwadhalilisha wazawa.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM

Waziri Tibaijuka akifunga majadiliano juu ya mradi huo. Waziri Tibaijuka akiwa ameshikana mikono na mbunge was Kigamboni Faustine Ndungulie na baadhi ya madiwani na viongozi wengine kuonyesha maridhiano namna mradi utakavyotekelezwa.Kaimu Mkurugenzi Msaidizi, Usanifu Miji na Uendelezaji Hellenic Mpetuta akitoa mada namna mji mpya utakavyopangiliwa katika mkutano huo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kivukoni Dar es Salaam leo.Baadhi ya wadau wakifuatilia mawasilisho ya mada mbalimbali juu ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wamkaba Waziri tozo za mafuta

Kati ya mambo ambayo Waziri wa Fedha, Saada Mkuya atalazimika kufanya kazi ya ziada kutolea maelezo ni tozo za mafuta, maji na umeme.

 

11 years ago

Habarileo

Tibaijuka aeleza hisa mradi Kigamboni

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema hisa ya asilimia 10 kwa fidia watakayolipwa wananchi wa Kigamboni kupisha ujenzi wa mji wa kisasa ni hiari.

 

11 years ago

KwanzaJamii

TIBAIJUKA, NDUNGULILE WATOFAUTIANA KUHUSU KIGAMBONI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameendelea kutofautiana na Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk. Faustine Ndugulile, kuhusiana na ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni. Hali hiyo ilijitokeza jana jijini Dar es Salaam walipokutana katika mkutano uliohusisha viongozi mbalimbali wa jimbo hilo, wakiwamo madiwani na wenyeviti wa serikali za mitaa. Profesa Tibaijuka alimtaka Dk. Ndungulile kuacha kuwapotosha wananchi kuwa mradi mpya wa Kigamboni haupo, badala yake...

 

11 years ago

Mwananchi

Prof Tibaijuka asalimu amri Kigamboni

 >Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka juzi aliwekwa kitimoto na wabunge waliotishia kuondoa shilingi kukwamisha bajeti ya wizara yake kiasi cha kumlazimisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuingilia kati na kuokoa jahazi.

 

10 years ago

TheCitizen

Lukuvi now overturns Prof Tibaijuka’s decisions on Kigamboni new city

>Residents of six wards in Kigamboni area who have been in a dispute with the government over a plan to repossess their land to pave the way for a modern city were relieved after they were told that the plan has been shelved.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU (WATU WENYE ULEMAVU) ATEMBELEA KITUO CHA NUNGE, KIGAMBONI

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ualemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi ametembelea Kituo cha Watu wenye Ulemavu na wasiojiweza cha Nunge Kigamboni Dar es Salaam Desemba 28, 2015 ili kuangalia mazingira na changamoto wanazokumbana nazo wakazi hao.Afisa Mfawidhi Makazi ya Wazee wa kituo cha kulea watu wenye ulemavu cha Nunge Kigamboni, Bw. Ojuku Mgesi akimuonesha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ualemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi (wa kwanza kushoto) banda linalotumiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Waziri Tibaijuka anusurika

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka juzi alinusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Bukoba kwenda Dodoma kupata ajali kwa kugonga punda katika Kijiji cha Wendele wilayani Kahama, mkoani Shinyanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani