Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Tibaijuka anusurika

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka juzi alinusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Bukoba kwenda Dodoma kupata ajali kwa kugonga punda katika Kijiji cha Wendele wilayani Kahama, mkoani Shinyanga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Waziri anusurika kipigo

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi

NA SAMWEL MWANGA, SIMIYU

NAIBU Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi, amenusurika kupata kipigo kutoka kwa wakulima wa pamba katika Kijiji cha Marekano, Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu.

Zambi alinusurika kupata kipigo baada ya kushindwa kutoa majibu ya kuridhisha kwa wakulima juu ya mbegu za pamba zisizoota.

Tukio hilo lilitokea juzi kijijini hapo, wakati Zambi alipofanya ziara ya kushitukiza ili kuona jinsi ununuzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mahanga anusurika kipigo.

Polisi wamuokoa chini ya ulinzi mkali, Wananchi wamzomea, wamwita mwizi.Vurugu katika zoezi la kuapisha wenyeviti wateule wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji zimepamba moto, ambazo zimesababisha Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, kujikuta akizomewa na wananchi na kusababisha zoezi hilo katika baadhi ya mitaa na vitongoji katika maeneo mbalimbali nchini kukwama.

Dk. Mahanga, ambaye pia ni Mbunge wa Segerea (CCM) alikumbwa na masaibu hayo wakati wa hafla ya kuapisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri anusurika ajali ya ndege

Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Abubakari Khamis Bakar, abiria na marubani wawili wamenusurika kifo baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupata ajali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Tibaijuka lawamani

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, anadaiwa kuingilia uamuzi wa Mahakama Kuu ya Ardhi Kanda ya Tabora. Mahakama hiyo katika uamuzi wa kesi namba 13/2013...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Yemen anusurika kifo

Waziri mkuu nchini Yemeni Khaled Bahah amenusurika kifo baada ya hoteli aliokuwa akiishi pamoja na baraza lake la mawaziri kushambuliwa katika mji wa Aden.

 

11 years ago

IPPmedia

Waziri anusurika kifo ajali ya ndege

Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakari Khamis Bakari, pamoja na abiria 17 wamenusurika kifo, baada ya ndege ya shirika la ndege la 'Zan air' waliyokuwa wanasafiria kupata matatizo ya breki na kusererekea vichakani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Benin anusurika ajali ya ndege

Waziri mkuu wa Benin, Lionel Zinsou, anasemekana kuwa salama baada ya ndege ya helikopta alimokuwa akisafiria, kuanguka ilipokuwa ikitua kaskazini mwa nchi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kigamboni wamkaba koo Waziri Tibaijuka

Viongozi wa Mji wa Kigamboni wamemtaka Waziri wa Ardhi na Maendeleo na Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kuharakisha malipo ya fidia kwa wakazi watakaopisha ujenzi wa mji mpya na kuacha mikutano ya hadhara isiyokuwa na tija.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE ANUSURIKA AJALI YA NDEGE, ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (pichani) , amenusurika kifo baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Iringa kwenda Zanzibar kutaka kugongana uso kwa uso na ndege nyingine dakika moja kabla ya kutua.

Waziri Membe akiwa na ujumbe wake wa watu wanane, walikuwa wakisafiria ndege ya kukodi kampuni ya 5H NEG Precition Aviation ikirushwa na rubani Mathew Mhahiki, ambaye ameonyesha kushangazwa na tukio hilo alilodai “ni kwa rehema za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani