Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri mkuu wa Yemen anusurika kifo

Waziri mkuu nchini Yemeni Khaled Bahah amenusurika kifo baada ya hoteli aliokuwa akiishi pamoja na baraza lake la mawaziri kushambuliwa katika mji wa Aden.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

IPPmedia

Waziri anusurika kifo ajali ya ndege

Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakari Khamis Bakari, pamoja na abiria 17 wamenusurika kifo, baada ya ndege ya shirika la ndege la 'Zan air' waliyokuwa wanasafiria kupata matatizo ya breki na kusererekea vichakani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Benin anusurika ajali ya ndege

Waziri mkuu wa Benin, Lionel Zinsou, anasemekana kuwa salama baada ya ndege ya helikopta alimokuwa akisafiria, kuanguka ilipokuwa ikitua kaskazini mwa nchi hiyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok anusurika kuuawa

Waziri mkuu wa Sudan amenusurika kuuawa katika jaribio la shambulizi lililotokea katika mji mkuu wa Khartoum.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kifo cha DC: Rais Kikwete amtumia salamu Waziri Mkuu

IMG_3959

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda kuomboleza kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa, Ndugu Moshi Chang’a(pichani).

“Ni kifo cha kusikitisha kwa sababu kimepunguza safu ya uongozi wetu na kimelinyang’anya taifa letu mhamasishaji hodari na mtetezi wa kuaminika wa maendeleo ya wananchi,” Rais Kikwete amesema katika salamu hizo.

Amesema Rais Kikwete katika salamu zake za...

 

10 years ago

GPL

MAMA ANUSURIKA KIFO

Sehemu ya gari ilipogongwa. Pembeni ni uzio wa magari uliowekwa na kamapuni ya Strabag. Umati wa watu wakiwa eneo la ajali  MAMA mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja, amenusurika kifo baada ya gari lake aina…

 

10 years ago

GPL

MSUNGU ANUSURIKA KIFO


Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lake kuharibika vibaya. Msanii wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’. Akipiga stori na gazeti hili, Msungu alisema anamshukuru Mungu kwani ungekuta sasa hivi ni maiti kwani ajali ilikuwa ni mbaya maeneo ya Bondeni, jijini Dar akielekea nyumbani kwake Tegeta ambapo gari lake...

 

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KIFO UBUNGO

Pikipiki iliyopata ajali ikiwa chini. Umati wa watu ukishuhudia ajali hiyo.
Daladala iliyojitolea kumsaidia…

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa anusurika kifo

ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu wa zamani ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo, jana mchana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani