Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tibaijuka aeleza hisa mradi Kigamboni

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema hisa ya asilimia 10 kwa fidia watakayolipwa wananchi wa Kigamboni kupisha ujenzi wa mji wa kisasa ni hiari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kigamboni wamkaba koo Waziri Tibaijuka

Viongozi wa Mji wa Kigamboni wamemtaka Waziri wa Ardhi na Maendeleo na Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kuharakisha malipo ya fidia kwa wakazi watakaopisha ujenzi wa mji mpya na kuacha mikutano ya hadhara isiyokuwa na tija.

 

11 years ago

KwanzaJamii

TIBAIJUKA, NDUNGULILE WATOFAUTIANA KUHUSU KIGAMBONI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameendelea kutofautiana na Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk. Faustine Ndugulile, kuhusiana na ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni. Hali hiyo ilijitokeza jana jijini Dar es Salaam walipokutana katika mkutano uliohusisha viongozi mbalimbali wa jimbo hilo, wakiwamo madiwani na wenyeviti wa serikali za mitaa. Profesa Tibaijuka alimtaka Dk. Ndungulile kuacha kuwapotosha wananchi kuwa mradi mpya wa Kigamboni haupo, badala yake...

 

11 years ago

Mwananchi

Prof Tibaijuka asalimu amri Kigamboni

 >Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka juzi aliwekwa kitimoto na wabunge waliotishia kuondoa shilingi kukwamisha bajeti ya wizara yake kiasi cha kumlazimisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuingilia kati na kuokoa jahazi.

 

10 years ago

TheCitizen

Lukuvi now overturns Prof Tibaijuka’s decisions on Kigamboni new city

>Residents of six wards in Kigamboni area who have been in a dispute with the government over a plan to repossess their land to pave the way for a modern city were relieved after they were told that the plan has been shelved.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ufisadi waanza mradi wa Kigamboni

MRADI wa mji mpya wa Kigamboni, jijini Dar es salaam, unadaiwa kuwa wa kifisadi baada ya watu wawili kati ya 228 waliofanyiwa tathmini kuandaliwa malipo ya sh bilioni 22 kati...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM

Waziri Tibaijuka akifunga majadiliano juu ya mradi huo. Waziri Tibaijuka akiwa ameshikana mikono na mbunge was Kigamboni Faustine Ndungulie na baadhi ya madiwani na viongozi wengine kuonyesha maridhiano namna mradi utakavyotekelezwa.Kaimu Mkurugenzi Msaidizi, Usanifu Miji na Uendelezaji Hellenic Mpetuta akitoa mada namna mji mpya utakavyopangiliwa katika mkutano huo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kivukoni Dar es Salaam leo.Baadhi ya wadau wakifuatilia mawasilisho ya mada mbalimbali juu ya...

 

10 years ago

Michuzi

JK ATEMBELEA DARAJA LA KIGAMBONI, MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NSSF KIJICHI

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati alipotembelea ujenzi wa Daraja la Kigamboni,jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea kadi maalum ya pongezi ya siku yake ya kuzaliwa leo Oktoba 07,2014 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau.Rais Kikwete anasherehekea siku yake ya kuzaliwa leo,akiwa ametimiza miaka 64 toka kuzaliwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mradi wa Mwanamke Mwezeshe wa WAMA wakopesha wanachama wa vikundi vya Hisa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9

img_08581

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda  – Maelezo , Nachingwea

Jumla ya mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9 zimetolewa kwa wanachama wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba vilivyopo chini ya mradi wa Mwanamke Mwezeshe unaosimamiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).

Hayo yamesemwa na  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa vikundi vya mradi wa Mwanamke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani