Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiganja cha mtoto albino wa Rukwa chapatikana Mbozi

Kiganja cha mtoto Baraka Cosmas (6) mwenye ulemavu wa ngozi (albino) kilichokatwa Machi 8 kwenye Kijiji cha Kipeta, Sumbawanga Vijijini kimepatikana mwishoni mwa wiki wilayani Mbozi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAKUU WA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAMTEMBELEA MTOTO ALBINO ALIYEKATWA KIGANJA

Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa kanda ya Mbeya, Dk. Mpoki Ulisubisya akiwaongozwa Wakuu wa Mikoa ya Mbeya na Rukwa kuelekea Wodini kumjulia hali Mtoto Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana kijijini kwao juzi.Mtoto Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana kijijini kwao juzi akiwa amelala kitandani akiendelea kupatiwa matibabu.Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stellah Manyanya akiwa anamwangalia kwa jicho la huruma Mtoto Baraka aliyekatwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto albino akatwa kiganja, jamii ifanye nini?

Ni masikitiko makubwa kwamba mtoto mwenye ulemavu wa ngozi katika Kijiji cha Kipeta, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa amejeruhiwa na watu wasiojulikana baada ya kukatwa kiganja cha mkono wa kulia. 

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Polisi yawanasa 15 kiganja cha albino



NA WILLY SUMIA, SUMBAWANGAPOLISI mkoani Rukwa wanawashikilia watu 15, wakiwemo waganga wa kienyeji saba kwa tuhuma za kuhusika kwenye tukio la kukatwa kiganja cha mtoto Baraka Cosmas.Baraka (6), ambaye ni mlemavu wa ngozi, alikatawa kiganja cha mkono mwishoni mwa wiki iliyopita wakati akiwa amelala na mama yake usiku.Watuhumiwa hao walitiwa mbaroni kufuatia msako mkali unaoendelea katika maeneo mbalimbali mkoani hapa, ikiwa ni muda mfupi baada ya tukio hilo.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Albino mwingine akatwa kiganja




Na Willy Sumia, Sumbawanga WAKATI Watanzania wakipaza sauti kukemea mauaji na ukataji viungo vya albino, mtoto mwingine Baraka Cosmas (6), amevamiwa na kukatwa kiganja cha mkono. Tukio hilo ambalo limezidisha hofu miongoni mwa albino nchini, limetokea usiku wa kuamkia jana katika kijiji cha Kipeta wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa. 
Habari za kuaminika zinasema kuwa, kundi la watu wasiojulikana walivamia kwenye nyumba aliyokuwa amelala Baraka na mama yake, Prisca Shaban na kuanza...

 

10 years ago

Habarileo

Albino mwingine akatwa kiganja

Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, Jacob MwaruandaLICHA ya Serikali, jamii na jumuiya ya kimataifa kukemea ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), bado kuna wanaoendelea kung’ang’ania mila potofu za kuamini kwamba bila ya ushirikina unaohusishwa na matumizi ya viungo vya albino, hawawezi kufanikiwa kimaisha, iwe katika kisiasa au kibiashara.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto mwingine akatwa kiganja Sumbawanga

Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ‘albino’ Baraka Cosmas (6) anayeishi na wazazi wake kijijini Kipeta, Bonde la Ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana kisha kutokomea nacho kusikojulikana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kipande cha Jules Rimet chapatikana

Kipande kombe halisi la dunia la kwanza kimepatikana katika chumba cha kuhifadhia vifaa vya michezo cha Fifa .

 

10 years ago

BBCSwahili

Kisa kipya cha Ebola chapatikana Liberia

Kisa kipya cha ugonjwa wa ebola kimegunduliwa Liberia wiki chache kabla ya nchi hiyo kutangazwa isio na kisa chochote cha ebola

 

10 years ago

Michuzi

SENENE KIGANJA KIMOJA CHA MKONO 'JERO' MJINI BUKOBA.

 Baadhi wachuuzi wa kitowea maarufu kwa wakazi wa Bukoba,kiitwacho senene,wakiwaandaa tayari kwa kuwauza kwa wateja wao,ambapo hupima kwa kiganja cha mkono kwa kiasi cha shilingi 500.  Kijana akiandaa senene wake kwa ajili ya chakula,kama alivyokutwa na Camera ya Globu ya Jamii nje ya soko la Bukoba mjini,ambako Senene hao hupatikana na kuuzwa kwa wingi.  Wachuuzi wa kitoweo cha Senene wakimuuzia mteja wao,ambapo hupima kwa kiganja na kuuzwa 500 . Wengine wanauwaza wakiwa bado hai kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani