Mtoto albino akatwa kiganja, jamii ifanye nini?
Ni masikitiko makubwa kwamba mtoto mwenye ulemavu wa ngozi katika Kijiji cha Kipeta, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa amejeruhiwa na watu wasiojulikana baada ya kukatwa kiganja cha mkono wa kulia.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Mar
Albino mwingine akatwa kiganja
Na Willy Sumia, Sumbawanga WAKATI Watanzania wakipaza sauti kukemea mauaji na ukataji viungo vya albino, mtoto mwingine Baraka Cosmas (6), amevamiwa na kukatwa kiganja cha mkono. Tukio hilo ambalo limezidisha hofu miongoni mwa albino nchini, limetokea usiku wa kuamkia jana katika kijiji cha Kipeta wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Habari za kuaminika zinasema kuwa, kundi la watu wasiojulikana walivamia kwenye nyumba aliyokuwa amelala Baraka na mama yake, Prisca Shaban na kuanza...
10 years ago
Habarileo09 Mar
Albino mwingine akatwa kiganja
LICHA ya Serikali, jamii na jumuiya ya kimataifa kukemea ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), bado kuna wanaoendelea kung’ang’ania mila potofu za kuamini kwamba bila ya ushirikina unaohusishwa na matumizi ya viungo vya albino, hawawezi kufanikiwa kimaisha, iwe katika kisiasa au kibiashara.
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Mtoto mwingine akatwa kiganja Sumbawanga
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Kiganja cha mtoto albino wa Rukwa chapatikana Mbozi
10 years ago
VijimamboWAKUU WA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAMTEMBELEA MTOTO ALBINO ALIYEKATWA KIGANJA
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Mtoto mwingine Albino akatwa mkono
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Polisi yawanasa 15 kiganja cha albino
NA WILLY SUMIA, SUMBAWANGAPOLISI mkoani Rukwa wanawashikilia watu 15, wakiwemo waganga wa kienyeji saba kwa tuhuma za kuhusika kwenye tukio la kukatwa kiganja cha mtoto Baraka Cosmas.Baraka (6), ambaye ni mlemavu wa ngozi, alikatawa kiganja cha mkono mwishoni mwa wiki iliyopita wakati akiwa amelala na mama yake usiku.Watuhumiwa hao walitiwa mbaroni kufuatia msako mkali unaoendelea katika maeneo mbalimbali mkoani hapa, ikiwa ni muda mfupi baada ya tukio hilo.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa,...
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Albino auawa, akatwa kucha
10 years ago
Habarileo15 May
Albino mwingine akatwa mkono
MWANAMKE mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Remi Luchoma (30), mkazi wa kijiji cha Mwamachoma kata ya Mamba wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi, amekatwa mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana, kisha wakatokomea na kiganja cha mkono huo kusikojulikana.