Kigogo Kenya matatani kwa kumfuata Magufuli Dar
Gavana wa Jimbo la Siaya, nchini Kenya, Cornel Rasanga ameingia matatani akidaiwa kutumia Sh20 milioni za nchi hiyo (karibu Sh400 milioni) kutoka katika mfuko za Serikali kwa ajili safari ya kuhudhuria sherehe za kumwapisha Rais John Magufuli.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Watanzania matatani kwa dawa za kulevya Kenya
WATANZANIA wanne wamekamatwa na dawa za kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya. Polisi wa Kenya waliwakamata Watanzania hao juzi wakiwa na dawa aina ya...
10 years ago
BBCSwahili10 Dec
Matatani kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
11 years ago
GPLWAZEE WA YANGA WAPANGA KUMFUATA MKUU WA MKOA WA DAR
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Makandarasi Dar matatani kwa kushindwa kufanya usafi wa mazingira
9 years ago
MichuziWAFUASI 60 WA CHADEMA AKIWEMO MGOMBEA UBUNGE MCHUNGAJI MSIGWA MATATANI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA MAWE MKUU WA FFU NA WANANCHI WALIOKUWA WAKITOKA KUMSIKILIZA DR MAGUFULI .....
Na MatukiodaimaBlogJESHI la polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mkoani Iringa watumia mabomu ya machozi kuwakamata wafuasi zaidi ya 60 wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema ) akiwemo mgombea ubunge wao jimbo la Iringa...
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
NHC yatoa msaada wa mashine za matofali, Sh. 500,000 kwa vijana walioacha kutumia dawa za kulevya Kigogo, Dar
Vijana waliopata ushauri nasaha wa kuacha kutumia dawa za kulevya, wakishangilia baada ya Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Muungano Saguye (aliyevaa koti) kuwakabidhi msaada wa mashine tatu za kufyatulia matofali pamoja na mtaji wa sh. 500,000 katika hafla iliyofanyika kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kigogo, Dar es Salaam jana. Katikati mstari wa mbele ni Mchungaji wa kanisa hilo, Jackson Haranja ambaye pia ni mlezi wa...
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Wanariadha wawili wa Kenya Matatani
10 years ago
GPLNHC YATOA MSAADA WA MASHINE ZA MATOFALI, SH. 500,000 KWA VIJANA WALIOACHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA KIGOGO, DAR
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Mtanzania amponza kigogo wa Mambo ya Ndani Kenya