Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigulu Makete hawajawahi kuona gari tangu uhuru

>Haitashangaza kusikia wakazi wa kata fulani hawajawahi kuona lami tangu Tanzania  ipate uhuru mwaka 1961 kwani katika hali ya kawaida kunakuwapo miundombinu ya barabara ambayo  hata kama si kwa kiwango cha kuridhisha, magari  yanafika kila kukicha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Kigulu Makete hawajawahi kuona gari tangu uhuru, Mbunge akiri, tatizo kukosa barabara, asema mwaka huu wataona gari

By Shaban Lupimo, Mwananchi
Makete. Haitashangaza kusikia wakazi wa kata fulani hawajawahi kuona lami tangu Tanzania ipate uhuru mwaka 1961 kwani katika hali ya kawaida kunakuwapo miundombinu ya barabara ambayo hata kama si kwa kiwango cha kuridhisha, magari yanafika kila kukicha.

Hata kama hayafiki kila siku, lakini wananchi wana uwezo wa kutumia usafiri mwingine kama pikipiki, baiskeli na mikokoteni kuwahi shughuli zao na kusafirisha bidhaa mbalimbali na kujenga uchumi.

Hata hivyo, hali...

 

10 years ago

CloudsFM

Diamond,Wema hawajawahi kukutana tangu kuachana

Mastaa wa Bongo ambao waliwahi kuwa wapenzi,Diamond na Wema Sepetu hawajawahi kukutana tangu walipoachana mwaka jana.

Staa wa Bongo Fleva,Diamond amefunguka hayo wakati akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm,alipoulizwa kuwa kama wana mahusiano mazuri na Wema Sepetu. ‘’Sina Ugomvi na Wema na sijaonana naye tangu tulipoachana,’’alisema Diamond.
Diamond ametambulisha leo wimbo wake mpya mwenye asili ya mduara uutwao ‘’Nasema Nawe’’aliyomshirikisha Khadija...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MAFANIKIO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE KWA MIAKA MITANO TANGU 2010-2015

Hii ni taarifa ya maendeleo yaliyofanywa na serikali kwa kushirikiana na wananchi na watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete tangu mwaka 2010 hadi mwaka huu 2015, kama ilivyosomwa na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo Mh. Daniel Okoka kabla ya baraza hilo kuvunjwa hivi karibuni.

 

11 years ago

Habarileo

hawajatembelewa na viongozi wa kitaifa tangu uhuru

WANANCHI wa Kata ya Chiwindi katika halmashauri ya Wilaya ya Nyasa wamelalamika kuwa hawajawahi kutembelewa na kiongozi yeyote kitaifa tangu Tanganyika ipate Uhuru mwaka 1961.

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri 16 wa fedha walioifikisha Tanzania ilipo sasa tangu uhuru

Wakati ikiwa imebaki miezi miwili kwa Serikali ya awamu ya tano ambayo ni mpya kuingia madarakani, macho na masikio ya Watanzania wengi yanasubiri kushuhudia mabadiliko makubwa katika nyanja mbalimbali.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MADEREVA BODABODA NA WAJASIRIAMALI MAKETE

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akitoa hotuba yake wakati akifunga mafunzo kwa madereva bodaboda wilayani Makete. Mafunzo hayo yametolewa na shirika la APEC  Madereva bodaboda wakifurahia kupatiwa vyeti vya mafunzo hayo.  Bi Rehebian Mahenge ambaye alikuwa katibu katika mafunzo hayo akisoma risala mbele ya mgeni rasmi  Bi Mahenge akimkabidhi risala mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika mafunzo hayo. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

11 years ago

Dewji Blog

DC Makete atoa rai kwa jamii ya Makete kusaidia watoto yatima na waishio kwenye mazingira hatarishi

unnamed

Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.

Na Mwandishi wetu

Imeelezwa kuwa ni jukumu la kila mmoja kuwasaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi, na si kuiachia serikali ama mashirika yasiyo ya kiserikali peke yao kufanya kazi hiyo

Kauli hiyo imetolewa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI

 Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.  Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro(wa tatu kushoto walioketi) na Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (wa pili walioketi kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa shirika la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani