Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigwangwalla aibuka na hoja ya muungano

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk Hamisi Kigwangalla amesema ili kuondoa mvutano kuhusu muundo wa Muungano ni lazima yafanyike mambo mawili, ambayo ni kuongeza muda wa Rais kuwa madarakani au kubadili Katiba katika maeneo yanayohusu Tume ya Uchaguzi (NEC) pekee.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Hati za Muungano hoja Namba 1

SIKU ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano, zilizosainiwa na waasisi wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, ndipo waanze mjadala.

 

11 years ago

Habarileo

Hati za Muungano zawa hoja Namba 1

SIKU ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano, zilizosainiwa na waasisi wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, ndipo waanze mjadala.

 

11 years ago

Habarileo

Wasomi wajadili hoja za Muungano bila jazba -RC

WASOMI nchini wametakiwa kujadili hoja za muungano kwa umakini na busara na waepuke jazba ambazo hazina maslahi kwa Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika: Sijaondoa hoja ya kuitaka Hati ya Muungano

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, John Mnyika amesema hajaondoa hoja yake ya kutaka kuwekwa wazi mkataba halisi wa Muungano wa Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

James Mbatia awachambua wasomi, wanaCCM, hoja za Muungano

 Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, James Mbatia, jana amewashambua wajumbe waliowengi bungeni na wasomi, kwa kulipotosha taifa katika mchakato wa kupata Katiba Mpya kutokana na kutumia takwimu na taarifa zisizo sahihi na kufanya propaganda katika suala la Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

Hoja za Muungano, maslahi kutawala Bunge wiki hii

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajia kuendelea na shughuli zake leo ambapo Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, inatarajiwa kuwasilisha makadirio ya bajeti yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Kigwangwalla, wenzake wapandishwa kizimbani

Mbunge wa Nzega, Dk. Hamis Kigwangwalla na wenzake 11 wamefikishwa mahakamani wilayani Nzega, mkoani Tabora wakikabiliwa na mashtaka matatu ya uharibifu wa mali na kufanya mkutano bila kibali.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kigwangwalla atembelea ujenzi wa hospitali ya rufaa kanda ya kusini

01

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara, Dkt. Shaibu Maarifa (katikati) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) alipotembelea eneo la Mikindani inapojengwa hospitali ya mpya ya kanda ya kusini, mkoani Mtwara.

02

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akimuuliza swali Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara Dkt. Shaibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu

BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani