Hoja za Muungano, maslahi kutawala Bunge wiki hii
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajia kuendelea na shughuli zake leo ambapo Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, inatarajiwa kuwasilisha makadirio ya bajeti yake.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Dec
Taarifa ya CAG kutawala Bunge
MKUTANO wa 14 wa Bunge unaendelea leo huku taarifa ya ukaguzi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na taarifa nyingine za kamati, zikitarajiwa kutawala mkutano huo.
11 years ago
Habarileo02 Apr
Hati za Muungano hoja Namba 1
SIKU ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano, zilizosainiwa na waasisi wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, ndipo waanze mjadala.
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Kigwangwalla aibuka na hoja ya muungano
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu
BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...
11 years ago
Habarileo02 Apr
Hati za Muungano zawa hoja Namba 1
SIKU ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano, zilizosainiwa na waasisi wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, ndipo waanze mjadala.
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Mnyika: Sijaondoa hoja ya kuitaka Hati ya Muungano
11 years ago
Habarileo09 Feb
Wasomi wajadili hoja za Muungano bila jazba -RC
WASOMI nchini wametakiwa kujadili hoja za muungano kwa umakini na busara na waepuke jazba ambazo hazina maslahi kwa Taifa.
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Tunahitaji Bunge linalojali maslahi ya taifa
BAADA ya Uchaguzi Mkuu. Tumempata Rais, wabunge na madiwani. Kinachobaki sasa ni kazi.
Privatus Karugendo