Wasomi wajadili hoja za Muungano bila jazba -RC
WASOMI nchini wametakiwa kujadili hoja za muungano kwa umakini na busara na waepuke jazba ambazo hazina maslahi kwa Taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Apr
James Mbatia awachambua wasomi, wanaCCM, hoja za Muungano
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Hoja ya Kingunge isijadiliwe kwa jazba
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano
10 years ago
Habarileo10 May
KUSAFISHWA MAWAZIRI : Wasomi watoa hoja nzito
WASOMI na wanasiasa wametoa hoja nzito na kupongeza uamuzi wa Tume ya Sekretarieti ya Maadili na Tume ya Uchunguzi ya Rais, kuwasafisha viongozi wakiwemo mawaziri.
11 years ago
BBCSwahili24 Apr
Wasomi Zanzibar waunga Muungano
11 years ago
Habarileo11 Mar
Wasomi watetea mfumo wa Muungano
WASOMI mbalimbali wa vyuo vikuu vya Dodoma (UDOM) na Dar es Salaam (UDSM), wametetea mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kudumisha amani na utulivu licha ya changamoto zinazojitokeza.
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Kigwangwalla aibuka na hoja ya muungano
11 years ago
Habarileo02 Apr
Hati za Muungano hoja Namba 1
SIKU ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano, zilizosainiwa na waasisi wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, ndipo waanze mjadala.