Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hoja ya Kingunge isijadiliwe kwa jazba

Mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru juzi alitoa kauli ambayo bahati mbaya imewakasirisha baadhi ya watu, ambao wanadai mwanasiasa huyo anatetea uvunjaji wa maadili na vitendo vya rushwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wasomi wajadili hoja za Muungano bila jazba -RC

WASOMI nchini wametakiwa kujadili hoja za muungano kwa umakini na busara na waepuke jazba ambazo hazina maslahi kwa Taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Dk. Bilal- Ukawa acheni jazba

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewatoa hofu Watanzania wanaoishi nchini hapa kuhusu mvutano uliojitokeza katika Bunge Maalum la Katiba na kuwahakikishia kuwa ana imani litakapokutana Agosti mwaka huu mambo yatakwenda vizuri.

 

10 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA: BARUA YA WAZI KWA GAZETI LA MWANANCHI NA BWANA HUMPHREY POLEPOLE KUHUSU URAIA PACHA KWA WATANZANIA.

Naomba unipe nafasi nitoe maoni yangu kuhusu Uraia pacha nikijbu maoni yaliyoandikwa kwenye gazeti la mwananchi na bwana Humphrey Polepole. Maoni yake yamenishangaza sana na mtu huyu anaonekana ana hujuzi kidogo katika mambo ya uandishi na ameamua kutumua ujuzi wake kudanganya watu kuhusu swala hili la urahia pacha kwa watanzania.

Napenda iheleweke kwamba urahia pacha sio kitu kigeni Tanzania. Kimsingi na kimazingira Tanzania inaruhusu urahia pacha. 
1.kwa watanzania wote walio na wazazi wenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Jazba iepukwe katika kujadili Rasimu ya Katiba

>Hatimaye Rasimu ya Pili ya Katiba iliwasilishwa bungeni jana baada ya kutokea sintofahamu juzi na kusababisha  kusitishwa kwa kikao cha Bunge Maalumu la Katiba pasipo Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuiwasilisha bungeni kama ilivyokuwa imepangwa.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Jazba yawatoa Sterling, Valencia

Sterling alicheza kwa dakika 15 pekee baada ya kutokea benchi kabla ya kumvamia Valencia.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unaweza kuepuka jazba katika ndoa?

Siku moja nilishuhudia tukio la kushangaza kwenye kituo cha daladala. Daladala moja ilisimama kituoni. Mara nikamuona mwanaume mmoja akitoka haraka kwenye daladala hiyo. Nyuma yake akatokea mwanamke aliyekuwa na hasira.

 

11 years ago

GPL

JAZBA ZATAWALA MKUTANO WA BONGO MOVIES, TRA

Na Deogratius Mongela
JAZBA baab’kubwa imeibuka katika mkutano wa wasanii wa filamu za Bongo ‘Bongo Movies’ na Bongo Fleva ulioandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na chombo cha kusimamia haki za wasanii nchini, Cosota. Jacob Steven ‘JB’. Tukio hilo lilijiri Jumatatu iliyopita ndani ya Ukumbi wa Vijana Social, Kinondoni, Dar ambapo mastaa wa filamu, Jacob Steven...

 

9 years ago

StarTV

Wazee Chadema wasema Kuhama kwa Kingunge kusiwe sababu ya kumkebehi

Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA limekemea tabia ya kukebehi na kudhihaki kitendo alichokifanya kada mkongwe wa CCM Kingunge Ngombale Mwiru cha kukihama Chama hicho na kudai kuwa kila Mtanzania ana uhuru wa kujiamulia masuala yake binafsi.

Wamedai kuhama chama kusipokelewe kama dhambi bali ni ukomavu wa mtu katika demokrasia.

Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Chadema Rodriki Rutembeka anazungumza na waandishi kuhusu hali halisi inavyoendelea tangu Mzee Kingunge...

 

10 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA TOKA KWA MDAU

Ankal pole na hongera kwa kazi nzuri ya kutupatia taarifa mbali mbali zinazo tuhusu watanzania, napenda kutumia nafasi hii kuomba serikali ya Mh Rais Kikwete iliyopewa dhamana na watanzania kuwaonea huruma watanzania kwakuwapunguzia mzigo mzito wa malipo ya kuingia kwenye maonesho ya SABASABA. 
Nimeenda kwenye maonesho hayo lakini nilichoshuhudia jana nikwamba maonesho hayo yamewalenga wenye kipato cha juu tu na si watanzania wakawaida asilani, kwa sababu inashangaza sana kwa serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani