JAZBA ZATAWALA MKUTANO WA BONGO MOVIES, TRA
![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R190Sf4cpujA1PUIissX41p6mwug2saqK7n7e04EF7vc59eun5ctMTF5UbQU00XcqYtDdp4cXyQE80hPE5KRVG6/jazba.jpg?width=650)
Na Deogratius Mongela JAZBA baab’kubwa imeibuka katika mkutano wa wasanii wa filamu za Bongo ‘Bongo Movies’ na Bongo Fleva ulioandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na chombo cha kusimamia haki za wasanii nchini, Cosota. Jacob Steven ‘JB’. Tukio hilo lilijiri Jumatatu iliyopita ndani ya Ukumbi wa Vijana Social, Kinondoni, Dar ambapo mastaa wa filamu, Jacob Steven...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjbnvQpNfp2fQ7Gowcb6GH34LOehjpjHpnaDNkm5ySmJF7wy3FkUeign4G*yyRqxUwdA4QbR9hcb9Rjf5SwN3xQH6/BONGOMUVI.jpg?width=650)
BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-xZM8uPM5pV-OEZ7vey46gBK7Kfm5Hz3SNg56amNRokRBfLbRUy0IaFraNnh5Hz9CfmQZf7zCkezgPqa4ZJrpBl/bongomuvi.jpg)
BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUm3Y9acgtPy3wK9tW2h2wOkri2efWEXvabTqhRheB*NuZPdrpT3TF73otn*f0pafpVAvZ4RwoMMlEMTsrSXCMgb/index.jpg?width=650)
BONGO MOVIES KWELI MMEKUBALI KUZIDIWA NA BONGO FLEVA?
11 years ago
GPLNIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg3uG8-sH*TkjLFCCUS*F0nFqtuHa5dY5tgPM30eAmvG-lWJZdB03ybBSUnksBOTAeifkbwxKpCTEMLtKLjn-gEy/11.jpg)
BONGO MOVIES VIPANDEVIPANDE!
10 years ago
TheCitizen19 Dec
COVER: Not much for bongo movies at the AMVCA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl-GsN-EtFzcxRHbp-I9WipfJa00JpPUDOGX5uBRNjp0OXbF2v4wLcqPXfXFd25uZDkohL6gnJAJkaErN5BY2ALb/MSANII2.jpg?width=650)
A-Z MSANII BONGO MOVIES ALIVYOJINYONGA
10 years ago
Bongo Movies06 May
Makamua Kuibukia Bongo Movies
Staa wa Bongo Fleva kutoka kundi la wakali kwanza, anatarajia kuigiza filamu ya maisha ya muziki itakayoitwa “Bongo na Fleva”.
Akiongea na E-News ya EATV, Makamua alisema filamu hiyo itahusisha pia mastaa wengine wakubwa wa Bongo Flava na kwamba mpaka sasa mradi huo umekwisha kamilika.
Karibu sana.
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Kitale Awachana ‘Bongo Movies’
Msanii wa filamu na vichekesho, Musa Kitale jioni ya leo akizungumza kwenye studio za Magic FM,kipindi cha Afrika Kabisa kwenye kipengele cha African Movies, alisema wazi kuwa hawakubali kabisa bongo movies kwani wanapenda kurudia rudia na kukopi filamu za nje na kusisitiza hata akiziangalia filamu zao huwa haoni jipya na hazina ubunifu.
Akaendelea kufafanua kuwa yeye sio mwana Bongo Movies na wala hayupo karibu nao kwani anaogopa kuwaambukizwa ‘kaugonjwa’ kakukopi kopi kitu mbacho...