Taarifa ya CAG kutawala Bunge
MKUTANO wa 14 wa Bunge unaendelea leo huku taarifa ya ukaguzi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na taarifa nyingine za kamati, zikitarajiwa kutawala mkutano huo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 May
Hoja za Muungano, maslahi kutawala Bunge wiki hii
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajia kuendelea na shughuli zake leo ambapo Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, inatarajiwa kuwasilisha makadirio ya bajeti yake.
5 years ago
MichuziRAIS, DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA CAG YA 2018/2019, APOKEA TAARIFA YA PCCB IKULU YA CHAMWINO LEO
5 years ago
CCM BlogRAIS, DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA CAG YA 2018/2019, APOKEA TAARIFA YA PCCB IKULU YA CHAMWINO LEO
11 years ago
Habarileo25 Dec
CUF wawasilisha taarifa za hesabu kwa CAG
BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi CUF, limesema chama hicho kimeandaa na kuwasilisha taarifa za fedha za chama hicho na kuziwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serika (CAG).
11 years ago
Habarileo08 May
Vyama 10 vyashindwa kutoa taarifa kwa CAG
VYAMA 10 vya siasa kati ya 21 vyenye usajili wa kudumu, vimeshindwa kuwasilisha hesabu zao za vyama kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa ajili ya ukaguzi. Kati ya hivyo, vyama 11 havikuwasilisha taarifa zao huku vinne vilivyokaguliwa havina akaunti ya benki.
10 years ago
Habarileo17 Mar
CAG: Taarifa za ukaguzi ziripotiwe kwa uangalifu
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Juma Asaad ametoa wito kwa asasi za kiraia pamoja na vyombo vya habari nchini kupitia kwa umakini na uangalifu taarifa za ukaguzi wa hesabu zinazotolewa na ofisi hiyo ili kuepusha upotoshaji wakati wa kuelimisha jamii.
11 years ago
Habarileo13 Aug
'CAG akague matumizi Bunge Maalum'
WAJUMBE wa Bunge Maalamu la Katiba, kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), limemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi maalumu kwenye matumizi ya fedha za bunge hilo, ili kubaini ufujaji wa fedha usio halali.
10 years ago
TheCitizen18 Nov
Bunge team begins work on CAG report
10 years ago
Habarileo23 Oct
Bunge laanza kufuatilia dosari ripoti ya CAG
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kushughulikia dosari zilizobainishwa kwenye ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenye halmashauri 140 nchini kwa mwaka wa fedha 2012/2013.