Kiingereza hakikwepeki katika dunia ya leo
Juzi tulichapisha habari iliyomnukuu Kaimu Mkemia Mkuu wa Serikali, Sabanitho Mtega akisema vipodozi vyenye kemikali zenye madhara kwenye mwili wa binadamu vinaendelea kutumiwa na wananchi kutokana na kutofahamu Kiingereza kinachotumiwa kwenye vipodozi hivyo kuelezea matumizi yake
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Breaking News!!No More Che Mundugwao! afariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Muhimbili
Che Mundugwao enzi za uhai wake.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Katika masikitiko makubwa na majonzi, Tanzania imeweza kumpoteza msanii mahiri wa muziki wa asili nchini, Chigwele Che Mundugwao alifariki mchana wa leo.
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali kutoka vyanzo vya habari, vilivyoifikia chumba cha Habari Modewji blog, zilieleza kuwa, CHE MUNDUGWAO amefariki dunia leo Aprili 16, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Hata hivyo taarifa zaidi zitaendelea kutolewa hapo baadae..ENDELEA...
11 years ago
Dewji Blog29 Aug
Watu kumi wamefariki dunia na majeruhi saba katika ajali mbaya iliyotokea Mbalizi leo

10 years ago
GPLMTOTO NICE MWENYE UWEZO WA KUONGEA KIINGEREZA NA KUKOKOTOA HESABU ATINGA GLOBAL PUBLISHERS LEO
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: WATU KUMI WAFARIKI DUNIA NA WENGINE SABA KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI JIJINI MBEYA LEO
Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nne asubuhi ikihusisha gari ndogo ya abiria maarufu daladala lenye namba za usajili T 237 BFB aina Toyota Hiace na gari kubwa aina ya Fuso lenye namba za usajili T 158 CSV.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo ilitokea maeneo ya Mbalizi baada ya Hiace iliyokuwa ikitokea Mbeya mjini kuelekea...
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Kiswahili dhidi ya Kiingereza au Kiswahili pamoja na Kiingereza?
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Kombe la dunia katika Vatican ?
11 years ago
Mwananchi31 May
Jikubali hata katika ya dunia inayokukataa
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi