Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kijasti afanya utalii wa ndani kilwa masoko

Mchora vibonzo, Nathan Mpangala akiwa mbele ya gofu la Makutano Palace lililo Kilwa Kisiwani, Lindi hivi karibuni. Hakika Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo!  Mchora vibonzo, Nathan Mpangala akiwa makaburi ya Familia ya Sultani wa Kilwa, Al Hassan Bin Suleiman, Kilwa Kisiwani, Lindi hivi karibuni. Makaburi haya yanayodaiwa ya karne ya 16 yana alama ambazo ni rahisi kugundua lipi la mwanaume na lipi la mwanamke. Mchora katuni, Nathan Mpangala (mwenye sanigogozi) akisikiliza simulizi toka kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

MELI YA MIZIGO MV MERCI II YAZAMA KILWA MASOKO

MV Merci II ikianza kuzama majini katika gati la Kilwa Masoko. Sehemu ya chini ya MV Merci II.…

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO KILWA MASOKO USIKU WA KUAMKIA LEO

Na Abdulaziz Ahmeid,Kilwa Masoko 
Familia moja ya Bw Bernad Towele dereva wa Gari la Takukuru Wilayani Kilwa Imenusurika baada ya Nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia katika mji mdogo wa kilwa masoko.
Akithibitisha kutokea kwa tukio la Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 6 usiku kuamkia leo,Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi,Joseph Mfungomara alieleza kuwa chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana ila hakuna majeruhi.
Kamanda Mfungomara alimalizia kuwa Vitu...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI YA UTALII YATAKIWA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI

IMG-20140704-WA0013Waziri wa Maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu akifungua rasmi mkutano wa 30 wa asasi ya wamiliki wa makampuni ya kusafirisha watalii TATO jijini Arusha hivi karibuni. IMG-20140704-WA0009Wadau mbalimbali wa utalii wakisikiliza mada kwa umakiniIMG-20140704-WA0004MAKAMPUNI ya kitalii hapa nchii yametakiwa kuutangaza kwa kiasi kikubwa utalii wa vivutio vyetu hapa nchini  ndani ya nchi pamoja na nje ya nchi ili kuwapa wanachi moyo wa kizalendo katika kujali vivutio walivyo navyo. Hayo yalisemwa juzi jijini Arusha na waziri...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA KUPITIA CHADEMA AFANYA MIKUTANO KILWA KUSINI

 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi. (Na Mpigapicha Wetu)  Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akimkabidhi kadi ya CUF aliyekuwa mwanachama wa CCM baada ya kurudisha kadi ya chama hicho kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.
 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI UMMY MWALIMU AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MASOKO YA MANISPAA ZA TEMEKE NA ILALA

 Naibu Wazir Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Injinia Mussa Natty. Naibu Wazir Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akipata maelezo juu ya usafi wa mazingira eneo la soko unavyofanyika. Anayetoa maelezo ni Mwenyekiti wa Soko la Tandale Sultan Ally Kinombo.Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (katikati)  akiwa katika ziara kukagua soko la Temeke la Stereo....

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI NA UTALII WA ZANZIBAR AFANYA KATIKA UWANJA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID KARUME

Maryam Himid/Saada Saleh-ZJMMC
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo,Zanzibar,Mh. Saidi Ali Mbarouk amezitaka Taasisi zinazosimamia kupokea Watalii Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Amani Abeid Karume kujenga mashirikiano ili kuondosha usumbufu kwa wageni wanaoingia na kuotoka nchini. Ameyasema hayo alipofanya ziara Uwanjani hapo kwa lengo la kuangalia hali halisi ya Wageni wanaoingia na kutoka nchini.
Waziri Mbarouk amesema suala la Mashirikiano kwa wageni ni jambo muhimu...

 

11 years ago

Michuzi

WANAHABARI KIGOMA NA UTALII WA NDANI

 Safari ya wanahabari toka Mkoani Kigoma kutembelea hifadhi ya Taifa ya arusha ikaanza   Wanahabri toka Mmkoa wa Kigoma wakiwa ndani ya hifadhi ya Taifa ya Arusha  Waandishi wa habri wa Mkoa wa Kigoma wakipata maelezo kuhusu hifadhi ya Taifa ya Arusha kutoka kwa Mhifadhi  Ikolojia Bi Maria Kirombo Mambo ya utalii wa ndani kwa wanahabri toka Kigoma ndani ya hifadhi ya Taifa ya Arusha yalikuwa kama hivi.(picha zote na Editha Karlo)

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tarishi apigia debe utalii wa ndani

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi, amevipa changamoto vyombo vya habari nchini, kupigia debe utalii wa ndani kama sehemu ya kuongeza pato la taifa na kuimarisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani