KIJIJI CHA QUNU CHAMPOKEA MANDELA
![](http://i2.cdn.turner.com/cnn/dam/assets/131213135136-05-mandela-memorial-1213-horizontal-gallery.jpg)
Mwili wa hayati Nelson Mandela umepelekwa katika mkoa wa Eastern Cape kwa safari ya mwisho kabla ya kuzikwa siku ya Jumapili kijijini Qunu. Idadi kubwa ya watu walifurika barabara angalau kumtupia jicho shujaa wao na kutoa heshima zao za mwisho. Mandela aliyefariki tarehe tano Disemba atafanyiwa maziko ya kitaifa siku ya Jumapili, Takriban watu 100,000 walitoa heshima zao za mwisho kwa Mandela mjini Pretoria siku ya Ijumaa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Dec
Kijiji cha Qunu chamuaga Mandela
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-f9ajbkZgF_g/Uq9PJnA9ZvI/AAAAAAAFBzM/PmUFmgyNymM/s640/q1.jpg)
TASWIRA ZA KIJIJI CHA QUNU ALIKOZIKWA MZEE NELSO MANDELA JUMAPILI DESEMBA 15, 2013
11 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mazishi ya Mandela Qunu
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/71710000/jpg/_71710686_pumza4.jpg)
How to pronounce Qunu and Mandela’s middle name
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-3l5UbWWmgbzImlSZrbKzqPJPejVQ1T6E-8x08BEQiKfmZXg6xZA3dvNOd0XX3GWWlNBi-fQu0aPMaihoXPK*Lz/MANDELAKABURI.jpg?width=550)
MAZIKO YA NELSON MANDELA KIJIJINI QUNU
11 years ago
Habarileo14 Dec
Wenyeji Qunu walia kutomzika Mandela
WAKAZI wa kijiji cha Qunu ambako kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela anatarajia kuzikwa kesho, wameelezea masikitiko yao dhidi ya taarifa kuwa hawatahudhuria maziko hayo. “Inauma sana kukosa kuhudhuria maziko hayo,” alisema Simesihle Soyaye juzi.
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Familia ya Nyerere yaenda Qunu kumzika Mandela
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Tata Mandela arejeshwa kwao Qunu leo
11 years ago
GPL15 Dec