Kijiji cha Qunu chamuaga Mandela
Mandela atazikwa kuambatana na tamaduni za Xhosa.Ng’ombe dume atachinjwa, na jeneza la hayati Mandela kufungwa kwa ngozi ya Chui .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://i2.cdn.turner.com/cnn/dam/assets/131213135136-05-mandela-memorial-1213-horizontal-gallery.jpg)
KIJIJI CHA QUNU CHAMPOKEA MANDELA
Mwili wa hayati Nelson Mandela umepelekwa katika mkoa wa Eastern Cape kwa safari ya mwisho kabla ya kuzikwa siku ya Jumapili kijijini Qunu. Idadi kubwa ya watu walifurika barabara angalau kumtupia jicho shujaa wao na kutoa heshima zao za mwisho.
Mandela aliyefariki tarehe tano Disemba atafanyiwa maziko ya kitaifa siku ya Jumapili, Takriban watu 100,000 walitoa heshima zao za mwisho kwa Mandela mjini Pretoria siku ya Ijumaa...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-f9ajbkZgF_g/Uq9PJnA9ZvI/AAAAAAAFBzM/PmUFmgyNymM/s640/q1.jpg)
TASWIRA ZA KIJIJI CHA QUNU ALIKOZIKWA MZEE NELSO MANDELA JUMAPILI DESEMBA 15, 2013
 Daraja la waendao kwa miguu likipita juu ya barabara mpya ya lami inayojengwa kuelekea kijijini Qunu.
Siku ya mazishi barabara ya kuelekea Qunu ilifungwa na ni magari yaliyokuwa na kibali tu ndiyo yaliyoruhusiwa kupita…
11 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mazishi ya Mandela Qunu
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Qunu, katika mkoa wa Cape Mashariki.
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/71710000/jpg/_71710686_pumza4.jpg)
How to pronounce Qunu and Mandela’s middle name
Why you're probably pronouncing Nelson Mandela's name wrong
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-3l5UbWWmgbzImlSZrbKzqPJPejVQ1T6E-8x08BEQiKfmZXg6xZA3dvNOd0XX3GWWlNBi-fQu0aPMaihoXPK*Lz/MANDELAKABURI.jpg?width=550)
MAZIKO YA NELSON MANDELA KIJIJINI QUNU
Jeneza lenye mwili wa Mandela likiwa makaburini. Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandela likipelekwa makaburini tayari kwa maziko.…
11 years ago
Habarileo14 Dec
Wenyeji Qunu walia kutomzika Mandela
WAKAZI wa kijiji cha Qunu ambako kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela anatarajia kuzikwa kesho, wameelezea masikitiko yao dhidi ya taarifa kuwa hawatahudhuria maziko hayo. “Inauma sana kukosa kuhudhuria maziko hayo,” alisema Simesihle Soyaye juzi.
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Familia ya Nyerere yaenda Qunu kumzika Mandela
Familia ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere itawakilishwa katika mazishi ya Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, ambaye atazikwa kesho katika Kijiji cha Qunu, Mthatha Jimbo la Eastern Cape.
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Tata Mandela arejeshwa kwao Qunu leo
Mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela unasafirishwa leo kurejeshwa kwake Kijiji cha Qunu, zikiwa ni saa 24 kabla ya kuanza kwa ibada ya mwisho ya mazishi ya kiongozi huyo yatakayofanyika kesho.
11 years ago
GPL15 Dec
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania