Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kijiwe chastukia na kulaani mfumo wa kikaburu

BAADA ya kunyaka stori kuwa magabacholi wauza bwimbwi wawili waliachia kiasi cha mahabusu kugoma na kuvua nguo, Mbwa Mwitu anaingia kijiweni kwa nyodo akishangilia kuumbuka kwa waongo na matapeli wanaodanganya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kijiwe chastukia tuzo ya rahisi bora

BI Sofi Lion aka Kanungaembe akiwa ameandamana na Kanji, anaingia kwa furaha ya aina yake. Si kawaida yake kununua gazeti ukiachia mbali kushobokea yale ya udaku. Leo kavunja mwiko. Anaingia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kura kwa bendera ya kikaburu Marekani

Wabunge wa Republican wanajaribu kuchelewesha kupigiwa kura sheria itakayoharamisha kupeperushwa kwa bendera hiyo

 

10 years ago

BBCSwahili

Wana vibonzo waungana kulaani shambulizi

Hisia nyingi zimetolewa katika mitandao kufuatia shambulizi lililotekelezwa katika jarida la vibonzo la Charlie Hebdo Ufaransa

 

11 years ago

Habarileo

Wapanga kuandamana Ijumaa kulaani mauaji ya Palestina

VYUO vya dini ya Kiislamu vya Hazrat Imam Sadiq vinatarajia kufanya maandamano ya kulaani vitendo wanavyofanyiwa Wapalestina. Maandamano hayo yatafanyika Ijumaa ya mwisho wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

 

10 years ago

GPL

T.F.S.C KUANDAA BONANZA KULAANI, KUPINGA MAUAJI YA ALBINO

Msemaji wa Temeke Family and Sports Club, Maulid Kisoma wa pili kutoka kulia akiongea jambo katika mkutano huo. Mwenyekiti wa Club hiyo, Hassan Mulajani,(wa kwanza kushoto) Katibu Mkuu wa  Club hiyo, Kassim Lumeta(wa pili kushoto) pamoja na Ernest Kimaya (kulia) Mwenyekiti wa Chama…

 

10 years ago

Vijimambo

TFDA NA TAASISI YA TRADEMARK EAST AFRICA (TMEA) WAZINDUA MFUMO WA UTOAJI VIBALI KWA MFUMO WA KIELEKITRONIKI

 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Kambi (kulia), akibonyeza kituvye Dar es Salaam leo asubuhi, kuashiria uzinduzi wa mfumo wa utoaji vibali kwa njia ya kielekitroniki (e-portal) ambao utawezesha Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), kuhudumia wateja wake kwa kutumia mtandao wa intaneti. Mpango huo unaendeshwa kwa ushirikiano wa TFDA na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) Viongozi wakiwa meza kuu wakifuatilia uzinduzi huo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi. Wadau...

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO YA KULAANI UKATILI WA POLISI YA MAREKANI YAFANYIKA KENYA NA NIGERIA

Maandamano ya kulaani ukatili wa polisi ya Marekani yafanyika Kenya, NigeriaMiji mikuu ya Kenya na Nigeria jana ilishuhudia maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na mauaji ya George Floyd, raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika aliyeuliwa kikatili na polisi mmoja mzungu katika mji wa Minneapolis, katika jimbo la Minnesota nchini Marekani wiki iliyopita.Katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi waandamanaji walikusanyika nje ya ubalozi wa Marekani jijini hapo huku wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali za kulaani jinai hiyo. Baadhi ya mabango hayo yalikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani