KIKAO CHA HARUSI YA SUZAN NA OSWALD BIRMINGHAM, ALABAMA
Kutoka kushoto ni Oswald, Mhagama, DJ Luke, Suzan wakiwa katika picha ya pamoja nyumbani kwa Suzan na Oswald kwenye kikao chao cha harusi kilichofanyika Jumamosi March 7, 2015 mji wa Birmingham, Alabama. Kikao kilihudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa Suzan na Oswald harusi itakayofanyika April 7, 2015 hapohapo Birmingham, Alabama.
Bi harusi mtarajiwa akianza kulizoea jiko taratibu kwa kuwapikia wageni waliokuja kwenye kikao mahanjumati
Deus Joseph, mwenyekiti akiendesha kikao cha harusi ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboMNUSO BAADA YA SHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN BURMINGHAM, ALABAMA
Ni ukodak moment kwenye mnuso wa baada ya sherehe ya harusi ya Oswald na Susan
Wadau wakiwa katika picha ya pamoja
Mnuso wa baada ya sherehe ukiendelea.
Ni ukodak kwa kwenda mbele
Wadau wakiselebuka
Mnuso wa baada ya sherehe ukiendelea
10 years ago
Vijimambo07 Mar
PATA VIKWANGUA ANGA JIJI LA BIRMINGHAM, ALABAMA NCHINI MAREKANI
![](http://weldbham.com/wp-content/uploads/2013/04/Downtown-Birmingham1.jpg)
Vikwangua anga jiji la Birmingham jimbo la Alabama nchini Marekani.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/01/30/article-2548526-1B11991800000578-195_964x642.jpg)
![](https://c1.staticflickr.com/1/20/70715370_48f36310ec.jpg)
![](https://c1.staticflickr.com/1/18/70715372_5f41b1ed8b.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/3/3a/Wachovia_and_Regions,_downtown_Birmingham.jpg)
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN
10 years ago
VijimamboDJ DULLAH AKARIBISHA MARAFIKI KUANGALIA MPAMBANO WA MAYWEATHER VS PACQUIAO NYUMBANI KWAKE BIRMINGHAM, ALABAMA USA.
10 years ago
VijimamboOAK MOUNTAIN STATE PARK, BIRMINGHAM, ALABAMA MOJA KATI YA PARKS ZINAZOVUTIA NCHINI MAREKANI.
10 years ago
VijimamboNG'ARI NG'ARI YA OSWALD NA SUSAN BURMINGHAM, ALABAMA LEO JUMAMOSI
Oswald na Susan wakivalisha pete ya ndoa mbele ya mchungaji wa kanisa la St Peter's Catholic Birmingham. AL na baada ya hapo kulifuatiwa na sherehe ndani ya St Peter's Reception Hall, Oswald na Susan walijumuhika na ndugu pamoja marafiki kusheherekea siku hii muhimu katika maisha yao.
Hapa ni mzazi wa Bibi harusi wakiingia kanisani
Watoto wakiwa kwenye sale maalum wakiingia kanisani hapo
Hawa watoto nao walikuwa kivutio kanisani hapo jinsi walivyokuwa wamependeza, kwa picha zaidi za...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Mwenyekiti wa kikao cha harusi anapoingiza ufisadi!
KUTOKANA na utamaduni wetu Waafrika na hususan Watanzania, ni dhahiri kabisa kuwa kusaidiana katika shida na raha ni mojawapo ya mambo ambayo yamekuwepo katika jamii zetu kwa kipindi tangu enzi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OOvcTAdSB9A/VZ_buOIdT7I/AAAAAAAHogc/J4YxdMnUHdg/s72-c/MMGL0395%2Bcopy.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-OOvcTAdSB9A/VZ_buOIdT7I/AAAAAAAHogc/J4YxdMnUHdg/s640/MMGL0395%2Bcopy.jpg)