OAK MOUNTAIN STATE PARK, BIRMINGHAM, ALABAMA MOJA KATI YA PARKS ZINAZOVUTIA NCHINI MAREKANI.
Kutoka kushoto, DJ Luke, Faustina na Dullah wakiwa katika picha ya pamoja baada ya DJ Luke na Dullah kukutana na Faustina akiwa mazoezini kwenye Oak Mountain State Park iliyopo mji wa Birmingham, Alabama. Moja kati ya parks inayovutia nchini Marekani ambayo pia ina kiingilio cha dola 3 kwa kichwa yenye sehemu ya mabwawa ya kuvulia samaki, kuogelea, kucheza gofu, sehemu za kukimbilia, kuendesha baiskeli, na nyumba za kambi za kukodisha kwa ajili ya mapumziko. Pia kuna sehemu za kujifunzia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Mar
PATA VIKWANGUA ANGA JIJI LA BIRMINGHAM, ALABAMA NCHINI MAREKANI
![](http://weldbham.com/wp-content/uploads/2013/04/Downtown-Birmingham1.jpg)
Vikwangua anga jiji la Birmingham jimbo la Alabama nchini Marekani.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/01/30/article-2548526-1B11991800000578-195_964x642.jpg)
![](https://c1.staticflickr.com/1/20/70715370_48f36310ec.jpg)
![](https://c1.staticflickr.com/1/18/70715372_5f41b1ed8b.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/3/3a/Wachovia_and_Regions,_downtown_Birmingham.jpg)
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA HARUSI YA SUZAN NA OSWALD BIRMINGHAM, ALABAMA
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboDJ DULLAH AKARIBISHA MARAFIKI KUANGALIA MPAMBANO WA MAYWEATHER VS PACQUIAO NYUMBANI KWAKE BIRMINGHAM, ALABAMA USA.
10 years ago
VijimamboJACQUELINE & ANDREW'S BABY SHOWER YAFANA COLLEGE PARK, MARYLAND NCHINI MAREKANI
Kushoto ni Bwn. Ngayoma katika picha ya pamoja na Jacqueline na Andrew wakati wakijiandaa kuingia ukumbini Hampton Inn kwenye tafrija ya kumkaribisha mtoto (baby shower) iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 College Park, Maryland nchini Marekani.
Jacqueline na Andrew wakiingia ukumbini kwenye tafrija ya kumkaribisha mtoto wao wa kiume iliyofanyika Hampton Inn iliyopo College Park Maryland nchini Marekani siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014
Jacqueline na Andrew wakiwa meza kuu
Dada tuma...
9 years ago
Bongo505 Jan
Website maarufu ya Marekani Buzzfeed yaitaja Tanzania nchi ya 8 katika nchi 20 zinazovutia duniani
![enhanced-7309-1430834722-9](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/enhanced-7309-1430834722-9-300x194.jpg)
Website maarufu ya Marekani, Buzzfeed imeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya nane katika orodha yake ya nchi 20 zinazovutia zaidi duniani.
Afrika Kusini imekata nafasi ya kwanza kwenye orodha hiyo.
Kuhusu Tanzania website hiyo imeandika:
Land of the Serengeti, Lake Victoria, Lake Natron and Lake Manyara, the Ngorongoro Crater, Zanzibar, the Spice Islands, Dar Es Salaam and a million more, Tanzania is almost beyond belief.
Mount Kilimanjaro rises over 3 miles above the surrounding plains, making...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fYvmQ-WcSEY/VfrsWcpH6fI/AAAAAAAH5nc/NWo5uzWZHBQ/s72-c/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
Tanzanian Mountain Guide Sets Out to Break the World Record in Climbing Mt. Kilimajaro, Africa’s tallest Mountain
![](http://1.bp.blogspot.com/-fYvmQ-WcSEY/VfrsWcpH6fI/AAAAAAAH5nc/NWo5uzWZHBQ/s640/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-OSKcNJj8vJ0/VfrsWT5lTBI/AAAAAAAH5nY/YVXnp-ZP8B8/s640/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2cknfKaxwvk/VfruGC-xjiI/AAAAAAAH5ns/2QKEs2GovXE/s640/climb-mt-kilimanjaro.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9S3V-Rv7R90/VEJ2_t-r1nI/AAAAAAAGrdA/_yogDFqZLPM/s72-c/1.jpg)
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9S3V-Rv7R90/VEJ2_t-r1nI/AAAAAAAGrdA/_yogDFqZLPM/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rIH0WR7WlvY/VEJ3RwGPZGI/AAAAAAAGrdI/URaG4XbjidI/s1600/3.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-nHT-52rc8Kk/VRVhtpwIpcI/AAAAAAAAAJo/jN0QEDLGK0Q/s72-c/Dullah%2BMsangi.jpg)
RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI ZIARANI JIMBO LA ALABAMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-nHT-52rc8Kk/VRVhtpwIpcI/AAAAAAAAAJo/jN0QEDLGK0Q/s1600/Dullah%2BMsangi.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-yuHusFufVYY/VRVhvL9PpHI/AAAAAAAAAJw/iGHlSEOE0S8/s1600/Invitation%2Bcard.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-FFuX_VrEpE4/VRVhwpkAu0I/AAAAAAAAAJ4/QQM1rBzdxt4/s1600/Air%2Bforce%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TIGNavoj85s/VRVh3Owyq4I/AAAAAAAAAKI/vZY48oZ7HZk/s1600/Air%2Bforce%2B1%2Bwith%2Belectronic%2Bcountermeasures.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-BBAvq6a7HhA/VRVpKPOahUI/AAAAAAAAAKk/mRJNx8n90Pw/s1600/Obama%2Bna%2BGovernor.jpg)