DJ DULLAH AKARIBISHA MARAFIKI KUANGALIA MPAMBANO WA MAYWEATHER VS PACQUIAO NYUMBANI KWAKE BIRMINGHAM, ALABAMA USA.
DJ Dullah aki BBQ nyumbani kwake baada ya kukaribisha marafiki kuangalia ngumi za Mayweather vs Pacquiao.
Kutoka kushoto: Eng. Mhagama, Njovu, na Dj. Dullah wakitayarisha makulaji kabla ya mpambano kati ya Mayweather na Pacquiao.
Kwa picha zaidi bofya SOMA ZAIDI
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDULLAH MSANGI AWAALIKA MARAFIKI KWENYE BBQ, HOOVER, ALABAMA.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XP1HwsPGdbfoVQEI5u2-*TQOXYPu4SOvIs73FSnwptrxKMb1it10Jm4U*WvZezBqN8twR20LnZWmqHEHZjIHPGKoH5rxJuUc/1.jpg?width=650)
MASTAA WALIOHUDHURIA MPAMBANO WA KARNE KATI YA MAYWEATHER NA PACQUIAO
Beyonce na Jay Z wakifuatilia mpambano wa Floyd Mayweather na Manny Pacquiao.
Justin Bieber katika pozi na Floyd Mayweather kabla ya pambano lake dhidi ya Manny Pacquiao leo alfajiri. Bondia wa zamani, Mike Tyson akiwa ndani ya Ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas, Marekani.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI0NvnsB5MjQkU10It0XV85Cbxq*Nq**X2R4XkaYyDpDMNhBmkXF5O8z5R3N9-LiCVPGY85niZjIMKGjbCKD4UtM/bayless.jpg)
KENNY BAYLESS NDIYE MWAMUZI WA MPAMBANO KATI YA MAYWEATHER NA PACQUIAO
Bayless akiongoza mpambano kati ya Mayweather (kulia) na Maidana wakati wa mpambano wa Septemba 2014. Bayless akimvuta Pacquiao (kushoto) wakati alipovaana na Ricky Hatton mwaka 2009. Manny Pacquiao akijifua kwa mpambano wake dhidi ya Floyd Mayweather Mei 2, mwaka huu. MWAMUZI veterani wa ndondi, Kenny…
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-wlt936NZfQU/VOg7v5vHJQI/AAAAAAAAA8w/9abWO6HDzWg/s72-c/untitled.png)
Floyd Mayweather ametangaza Rasmi Mpambano mkubwa wa dola za kimarekani milioni 250 dhidi ya Manny Pacquiao kwa kuonyesha mkataba uliosainiwa.
Pambano la pesa nyingi katika historia liko mbioni, Mayweather ameonyesha kopi ya mkataba uliosainiwa pamoja na Manny Pacquiao katika mitandao ya kijamii. Mpambano huo uliokuwa katika matayarisho kwa muda wa miaka mitano utafanyika MGM Grand Las Vegas.
![](http://1.bp.blogspot.com/-wlt936NZfQU/VOg7v5vHJQI/AAAAAAAAA8w/9abWO6HDzWg/s1600/untitled.png)
Utakuwa ni mpambano ghali zaidi kutokea katika historia za ngumi zakulipwa, utagharimu jumla ya Dola za Kimarekani 250. Katika pesa hizo inaeleweka kuwa Mayweather anauhakika wa kuchukuwa Dola milioni 150 wakati Manny...
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA HARUSI YA SUZAN NA OSWALD BIRMINGHAM, ALABAMA
10 years ago
Vijimambo07 Mar
PATA VIKWANGUA ANGA JIJI LA BIRMINGHAM, ALABAMA NCHINI MAREKANI
![](http://weldbham.com/wp-content/uploads/2013/04/Downtown-Birmingham1.jpg)
Vikwangua anga jiji la Birmingham jimbo la Alabama nchini Marekani.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/01/30/article-2548526-1B11991800000578-195_964x642.jpg)
![](https://c1.staticflickr.com/1/20/70715370_48f36310ec.jpg)
![](https://c1.staticflickr.com/1/18/70715372_5f41b1ed8b.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/3/3a/Wachovia_and_Regions,_downtown_Birmingham.jpg)
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboOAK MOUNTAIN STATE PARK, BIRMINGHAM, ALABAMA MOJA KATI YA PARKS ZINAZOVUTIA NCHINI MAREKANI.
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Mayweather na Pacquiao wakosolewa
Mabondia mashuhuri wa zamani wa Kenya, Steve Muchoki na Muhammad Abdallah Kent, wamewakosoa Floyd Mayweather na Manny Paqcuiao
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania