Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHAKULA CHA MCHANA JUMAPILI BAADA YA HARUSI YA SUZAN NA OSWALD, BIRMINGHAM ALABAMA



























Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA HARUSI YA SUZAN NA OSWALD BIRMINGHAM, ALABAMA

Kutoka kushoto ni Oswald, Mhagama, DJ Luke, Suzan wakiwa katika picha ya pamoja nyumbani kwa Suzan na Oswald kwenye kikao chao cha harusi kilichofanyika Jumamosi March 7, 2015 mji wa Birmingham, Alabama. Kikao kilihudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa Suzan na Oswald harusi itakayofanyika April 7, 2015 hapohapo Birmingham, Alabama.Bi harusi mtarajiwa akianza kulizoea jiko taratibu kwa kuwapikia wageni waliokuja kwenye kikao mahanjumatiDeus Joseph, mwenyekiti akiendesha kikao cha harusi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MNUSO BAADA YA SHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN BURMINGHAM, ALABAMA

Wadau mbalimbali waliotokelezea kwenye mnuso wa baada ya sherehe ya harusi ya Oswald na Susan uliofanyika katikati ya mji wa Burmingham jimbo la Alabama wakipata picha ya pamoja.
Ni ukodak moment kwenye mnuso wa baada ya sherehe ya harusi ya Oswald na Susan
Wadau wakiwa katika picha ya pamoja
Mnuso wa baada ya sherehe ukiendelea.
Ni ukodak kwa kwenda mbele
Wadau wakiselebuka
Mnuso wa baada ya sherehe ukiendeleaKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

PATA VIKWANGUA ANGA JIJI LA BIRMINGHAM, ALABAMA NCHINI MAREKANI


Vikwangua anga jiji la Birmingham jimbo la Alabama nchini Marekani.


 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN

Oswald na Susan wakiwa kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa kanisa katoliki la Mt. Peter lililopo Burmingham, Alabama siku ya Jumamosi April 11, 2015.Maharusi na wapambe wao wakiwa meza kuu.Wasimamizi wa maharusi wakijipanga kuwapokea Oswald na Susan wakati walipokua wakiingia ukumbini. Wasimamizi wakiwa tayari kuwapokea maharusi. Wapambe wa maharusi wakiingia ukumbini. Maharusi wakiingia kwa staili ya ghari, ghari. Maharusi wakifanya vitu vyao. Ni cherekuchereku kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

OAK MOUNTAIN STATE PARK, BIRMINGHAM, ALABAMA MOJA KATI YA PARKS ZINAZOVUTIA NCHINI MAREKANI.

 Kutoka kushoto, DJ Luke, Faustina na Dullah wakiwa katika picha ya pamoja baada ya DJ Luke na Dullah kukutana na Faustina akiwa mazoezini kwenye Oak Mountain State Park iliyopo mji wa Birmingham, Alabama. Moja kati ya parks inayovutia nchini Marekani ambayo pia ina kiingilio cha dola 3 kwa kichwa yenye sehemu ya mabwawa ya kuvulia samaki, kuogelea, kucheza gofu, sehemu za kukimbilia, kuendesha baiskeli, na nyumba za kambi za kukodisha kwa ajili ya mapumziko. Pia kuna sehemu za kujifunzia...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ DULLAH AKARIBISHA MARAFIKI KUANGALIA MPAMBANO WA MAYWEATHER VS PACQUIAO NYUMBANI KWAKE BIRMINGHAM, ALABAMA USA.

 DJ Dullah aki BBQ nyumbani kwake baada ya kukaribisha marafiki kuangalia ngumi za Mayweather vs Pacquiao.Kutoka kushoto: Eng. Mhagama, Njovu, na Dj. Dullah wakitayarisha makulaji kabla ya mpambano kati ya Mayweather na Pacquiao.Kwa picha zaidi bofya SOMA ZAIDI









 

10 years ago

Vijimambo

NG'ARI NG'ARI YA OSWALD NA SUSAN BURMINGHAM, ALABAMA LEO JUMAMOSI



Oswald na Susan wakivalisha pete ya ndoa mbele ya mchungaji wa kanisa la St Peter's Catholic Birmingham. AL na baada ya hapo  kulifuatiwa na sherehe ndani ya St Peter's Reception Hall, Oswald na Susan walijumuhika  na ndugu pamoja  marafiki kusheherekea siku hii muhimu katika maisha yao.

Hapa ni mzazi wa Bibi harusi wakiingia kanisani 
Watoto wakiwa kwenye sale maalum wakiingia kanisani hapo
Hawa watoto nao walikuwa kivutio kanisani hapo jinsi walivyokuwa wamependeza, kwa picha zaidi za...

 

10 years ago

Michuzi

Miss Ilala 2014 ashiriki chakula cha mchana na Watoto wa Kituo cha Mwana Orphans Centre

Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwanawisha mikono watoto yatima wa kituo cha Mwana Orphans Centre kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam katika hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika katika hoteli ya Cape Town Fish Market.  (Picha na John Dande)Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwagawia chakula watoto wanaolelewa na kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingungutijijini Dar es Salaam katikahaflayachakula cha mchanailiyofanyikajuzikatikahoteliya Cape...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI GLOBAL WAONYESHA UPENDO, WALA PAMOJA CHAKULA CHA MCHANA

Baadhi ya ‘askari’ wa kikosi cha Global Publishers wakielekea kupata msosi wa nguvu mchana huu. Taswira ya msosi wa nguvu uliokuwa mezani.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani