Miss Ilala 2014 ashiriki chakula cha mchana na Watoto wa Kituo cha Mwana Orphans Centre
Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwanawisha mikono watoto yatima wa kituo cha Mwana Orphans Centre kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam katika hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika katika hoteli ya Cape Town Fish Market. (Picha na John Dande)
Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwagawia chakula watoto wanaolelewa na kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingungutijijini Dar es Salaam katikahaflayachakula cha mchanailiyofanyikajuzikatikahoteliya Cape...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ERtke1rp_KA/VKMMcmkRfeI/AAAAAAAG6pw/r8X6uoqXmzI/s72-c/Moja.jpg)
Miss Tanzania 2014 asaidia kituo cha New Life Orphans Home,Boko jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-ERtke1rp_KA/VKMMcmkRfeI/AAAAAAAG6pw/r8X6uoqXmzI/s1600/Moja.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-yZS_-bLXCPw/VKMMd8HDuHI/AAAAAAAG6qE/g2y31xGuIVg/s1600/nne.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cM-vHMlzz9o/VKMMcnv19hI/AAAAAAAG6ps/1q8kKuo_4nI/s1600/5.jpg)
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Pinda ashiriki hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burudani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014. Chakula hicho kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa maonyesho ya mavazi...
10 years ago
MichuziCHAMA CHA WANAWAKE WANASHERIA TANZANIA(TAWLA) WAFUTURU NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA MWANA VINGUNGUTI JIJINI DAR.
11 years ago
GPLMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Excel yasaidia kituo cha watoto Msimbazi Centre
KAMPUNI ya Excel Management and Outsourcing Limited, imetenga sh milioni 70 mwaka huu kwa ajili ya kusaidia jamii nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Deogratius Kilawe, alieleza hayo jijini Dar...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-cM24Tk72kc4/VO62LKMk8sI/AAAAAAAHF7w/MHYlmLLytVw/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
MISS UNIVERSE NALE BONIFACE ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) CHA SALVATION ARMY JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-cM24Tk72kc4/VO62LKMk8sI/AAAAAAAHF7w/MHYlmLLytVw/s1600/unnamed%2B(6).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-dVm2XXwOEwM/VO62MqHot6I/AAAAAAAHF8E/8ND71291Uas/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Dec
Hoteli ya Giraffe Ocean View yaanda chakula cha mchana kwa watoto yatima na kuwakabidhi zawadi za X-Mass
Watoto wanaolelewa katika Kitu cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, wakiwasili katika eneo la Hoteli ya Giraffe Ocean View, Dar es Salaam juzi baada ya kualikwa kwa ajili ya kupewa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi pamoja na chakula cha mchana. (Na Mpigapicha Wetu).
Watoto wa Kituo cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, Dar es Salaam, wakijihudumiwa chakula cha mchana juzi kilichoandaliwa na Hoteli ya Giraffe Ocean View iliyopo jijini ambapo pia walipewa zawadi ya mbuzi, mchele na...
10 years ago
GPLMAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL