Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIKONGWE AISHI KWA KULA UDONGO

Stori: Denis Mtima KATIKA hali ya kushangaza na kusikitisha sana, kikongwe mmoja aitwaye Athuman Ngusa Kulaba (80) amekuwa akiishi kwa kula udongo wa nyumba anayoishi kwa sababu ya kukosa chakula cha kibinadamu, Uwazi limemvumbua. Athuman Ngusa Kulaba amekuwa akiishi kwa kula udongo wa nyumba anayoishi. Kikongwe huyo alikutwa na gazeti hili hivi karibuni nyumbani kwake, Chanika wilayani Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Aishi kwa kula udongo miaka 10

KIKONGWE Athumani Kulaba (80) mkazi wa Chanika jijini Dar es Salaam, amewashangaza wakazi wa eneo hilo alipobainika kuwa anakula udongo kama chakula kwa zaidi ya miaka 10. Kwa mujibu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kijana aishi kwa kula mifuko ya plastiki akidai ‘ni mitamu’

Kijana mwenye umri wa miaka 23 amejikuta katika wakati mgumu, baada ya kuathiriwa na tabia ya kula mifuko na bidhaa za plastiki.

 

11 years ago

BBCSwahili

2000 wafa kwa udongo Afghanistan

Watu wapatao 2000 wahofiwa kufa kutokana na maporomoko ya ardhi katika maeneo ya vijiji kwenye mkoa wa Badakhshan, Afghanistan.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikongwe mbaroni kwa ubakaji

Polisi mkoani Klimanjaro inamshikilia mzee Mungai Molel(75) kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 11 wa shule ya msingi Okaseni na kumjeruhi vibaya sehemu za siri.

 

11 years ago

Mwananchi

Aishi kwenye handaki kwa miaka minne

>Tunaposikia handaki, fikra zinatupeleka moja kwa moja kwenye vita kwani aghalabu, mahandaki hutumiwa na watu kujificha wakati wa vita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikongwe aona bahari kwa mara ya kwanza

Wiki kadhaa kabla ya kufika miaka 101, Ruby Holt ameona Bahari kwa mara ya kwanza.

 

9 years ago

Global Publishers

Mtoto wa Miaka 4 aishi na maiti ya mama yake kwa siku 2

maittiBryan Allen akiwa na mama yake Shaleena Hamilton (enzi za uhai wake).maitinBryanmaitiiBaiskeli aliyozawadiwa Bryan.

Bryan Allen is “doing well” after he survived 48 hours, after his mom died. Thought mom was sleeping @news4buffalo pic.twitter.com/UZXUma2c6S

— Marissa Perlman (@MPerlman4) December 14, 2015

Bryan won’t be here, but here’s his new bike pic.twitter.com/pOjtb55QFu — Aaron Besecker (@AaronBesecker) December 14, 2015

Donations have come from police, people dropping off at districts, other...

 

10 years ago

GPL

KIKONGWE ALIYEPIGWA MAWE KWA MADAI YA USHIRIKINA HALI MBAYA

Stephano Mango, Songea
KIKONGWE Hilda Johnfan Pili (79) aliyepigwa mawe kutokana na imani za kishirikina katika Kijiji cha Kilagano, Peramiho mkoani Ruvuma hivi karibuni, bado hali yake ni mbaya kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata. Kikongwe akiwa hoi baada ya kupigwa mawe kutokana na imani za kishirikina. Kikongwe huyo na Maurus Zenda (46) anayedaiwa kuwa ni mwanaye kiukoo, kwa pamoja walijeruhiwa vibaya baada ya kupigwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mzee aishi wodini kwa miaka 45 tangu Januari mosi mwaka 1971

DSC07576

Mzee Abdi Nkhambi Lanjui (75) akiwa wodi namba nne katika hospitali ya mkoa mjini Singida. Mzee Lanjui mzaliwa wa kijiji cha Mhintiri tarafa ya Ihanja, aliyekuwa dereva wa kampuni ya mamlaka ya Pamba Mwanza, alipata ajali katikati ya mwaka 1968 na kulazwa katika hospitali ya Sekoture Mwanza na baadaye mwishoni mwa mwaka 1970,alihamishiwa hospitali ya mkoa wa Singida, ambako anaishi hadi sasa. Ajali hiyo ilisababisha kukatika mawasiliano kati ya kuanzia kiunoni na kushuka chini ambako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani