2000 wafa kwa udongo Afghanistan
Watu wapatao 2000 wahofiwa kufa kutokana na maporomoko ya ardhi katika maeneo ya vijiji kwenye mkoa wa Badakhshan, Afghanistan.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Aishi kwa kula udongo miaka 10
KIKONGWE Athumani Kulaba (80) mkazi wa Chanika jijini Dar es Salaam, amewashangaza wakazi wa eneo hilo alipobainika kuwa anakula udongo kama chakula kwa zaidi ya miaka 10. Kwa mujibu wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W396OqOTXolhGDW-kja6yEh0MrACfDwU1eSDMQ5Dk4-Ij2dVE4XFAqa6867QTn4mvwKWVqwz6eNX3WXq4aKsb6U/kikongwe.jpg)
KIKONGWE AISHI KWA KULA UDONGO
Stori: Denis Mtima KATIKA hali ya kushangaza na kusikitisha sana, kikongwe mmoja aitwaye Athuman Ngusa Kulaba (80) amekuwa akiishi kwa kula udongo wa nyumba anayoishi kwa sababu ya kukosa chakula cha kibinadamu, Uwazi limemvumbua. Athuman Ngusa Kulaba amekuwa akiishi kwa kula udongo wa nyumba anayoishi. Kikongwe huyo alikutwa na gazeti hili hivi karibuni nyumbani kwake, Chanika wilayani Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam baada ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-EybTReX1BA4/VGW41FZ9A1I/AAAAAAADIJI/hDSNVO8ptyQ/s72-c/MMG23716.jpg)
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA:WANAFUNZI WATATU WA KIKE WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WILAYA YA ILEJE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-EybTReX1BA4/VGW41FZ9A1I/AAAAAAADIJI/hDSNVO8ptyQ/s1600/MMG23716.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WMSsrQaX95s/VGW5CiUYoSI/AAAAAAADIJQ/I8dSTDwWyns/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
TUKIO HILO LIMETOKEA TAREHE 12.11.2014 MAJIRA YA SAA 12:00HRS...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-bBmz2bJgF-g/U_XUQ7JAP7I/AAAAAAAGBKE/F3Xkq_odWzU/s72-c/unnamed%2B(80).jpg)
Mamlaka ya Elimu Tanzania inatarajia kukabidhi madawati 2000 kwa shule za Msingi 10
![](http://2.bp.blogspot.com/-bBmz2bJgF-g/U_XUQ7JAP7I/AAAAAAAGBKE/F3Xkq_odWzU/s1600/unnamed%2B(80).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-qPFqQEZKfG0/U_XUQhg7WBI/AAAAAAAGBKM/DrMZCM79aSA/s1600/unnamed%2B(81).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5mi8MFV45rAjOY-F5oCEccZl-QXerGM7g*Q9fRcMXSnAN5Rk7tKZYEgIB30qqdNdiMuMhO3m2NfK2VcdwBx5VipK/ubakaji.jpg)
7 WAHUKUMIWA KIFO KWA UBAKAJI AFGHANISTAN
Mmoja wa watuhumiwa hao waliohukumiwa kifo. Hukumu hiyo wakati ikitolewa. WANAUME saba nchini Afghanistan, leo wamehukumiwa kifo baada ya kubainika kuwa waliwabaka kwa zamu…
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Marekani yalaumu Afghanistan kwa shambulio Kunduz
Marekani amesema wanajeshi wa Afghanistan ndio walioomba majeshi ya taifa hilo yashambulie kliniki iliyokuwa ikitumiwa na shirika la MSF mjini Kunduz.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-I9vfyf3mGko/VZvY7QMaKCI/AAAAAAAHnjo/EVLp8MzLMyM/s72-c/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
Meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akabidhi soko jipya la SIMU 2000 kwa wafanyabiashara
MSTAHIKI Meya wa manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe ya manispaa ya kinondoni. Mstahiki Mwenda amewatoa hofu wafanyabiashara wa soko jipya la kituo cha basi cha Simu2000 mawasiliano kuwa watafanya biashara bila ya kuwa na matatizo yoyote kwa kuwa soko hilo lipo katika mfumo wa kisasa. Meya Mwenda alisema hayo alipokuwa akikabidhi vizimba vya soko hilo kwa wafanya biashara ndondogo waishio...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-O5__avcPolg/VEkKSCe86hI/AAAAAAAGs94/3xJeMOXlR74/s72-c/PIX%2B1.jpg)
WAZIRI CHIKAWE AMKABIDHI MKUU WA WILAYA NACHINGWEA MABATI 2000 KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI
![](http://1.bp.blogspot.com/-O5__avcPolg/VEkKSCe86hI/AAAAAAAGs94/3xJeMOXlR74/s1600/PIX%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-T7RirNf69qo/VEkKR002bzI/AAAAAAAGs90/rhDiLikoX5s/s1600/PIX%2B2-Horizontal%2BPix.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania