Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIKOSI CHA TIMU YA KILIMANJARO STARS KUREJE KESHO


KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kinatarajiwa kuwasili kesho mchana jijini Dar ess alaam kikitokea nchini Ethiopia kilipokuwa kinashiriki michuano ya Kombe la Chalenji kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati.

Kilimanjaro Stars imetolewa katika hatua ya robo fainali na wenyeji Ethiopia kwa mikwaju ya penati, baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika dakika 90 za mchezo huo, na wenyeji kushinda kwa penati 4-3.

Timu ya Kilimanjaro Stars inayonolewa na kocha Abdallah...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KIKOSI CHA TAIFA STARS KUELEKEA NCHINI AFRIKA KUSINI KESHO

Msafara wa watu 27 wa kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kinaondoka kesho (Julai 30 mwaka huu) saa 10 jioni kwa ndege ya Air Tanzania kwenda Afrika Kusini ambapo kitapiga kambi ya siku mbili kabla ya kuingia Maputo kuikabili Msumbiji (Mambas).
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itawasili saa 9 asubuhi kesho (Julai 30 mwaka huu) kwa ndege ya Fastjet kutoka Tukuyu mkoani Mbeya, na baadaye jioni kuunganisha safari ya Afrika Kusini.
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya...

 

10 years ago

GPL

KIKOSI CHA LEO TIMU YA AZAM FC SOKOINE, MBEYA

Kikosi cha timu ya Azam FC (Picha na Maktaba). Mabingwa wa soka Tanzania Bara, leo jioni ya saa 10:30 wanaingia kwenye Uwanja wa C.C.M Sokoine kupambana na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa mzunguko wa tatu Vodacom Premier League. Wanaowakilisha leo ni hawa
1. AISHI MANULA
2. SHOMARI KAPOMBE
3. GADIEL MICHAEL
4. SAID MORAD
5 . AGGREY MORIS
6. BOLOU MICHAEL
7. HIMIDI MAO
8. SALUM ABUBAKAR
9. GAUDENCE...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kikosi cha timu ya Zanzibar Star Diaspora Nchini Marekani

ZANZIBAR STARS YAINGIA MASHINDANO YA KOMBE LA EAST AFRIKA DIASPORA DMV Thursday, September 3, 2015 Kwamara nyengine tena timu ya Zanzibar Stars Diaspora Nchini Marekani, imejianda rasmi katika mashindano ya Mpira wa Miguu Diaspora Afrika Mashariki […]

The post Kikosi cha timu ya Zanzibar Star Diaspora Nchini Marekani appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

BBCSwahili

Noij kutaja kikosi cha Stars

Kocha Mart Nooij Alhamisi anategemewa kutangaza kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya kuanza mazoezi kujiandaa na kombe la COSAFA .

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikosi cha Taifa stars chatangazwa

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 .

 

11 years ago

Mwananchi

Uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, TFF yapingwa

Uamuzi wa Shirikisho la Soka  Tanzania (TFF) kuteua timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars umepokewa kwa hisia tofauti na wadau mbalimbali wa soka nchini.

 

10 years ago

Michuzi

KOCHA NOOIJ KUTAJA KIKOSI CHA STARS NOVEMBA 4

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij keshokutwa (Novemba 5 mwaka huu) atatangaza kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) itakayochezwa ugenini Novemba 16 mwaka huu.
Nooij atatangaza kikosi hicho mbele ya waandishi wa habari katika mkutano utakaofanyika saa 4.30 asubuhi kwenye ofisi za TFF zilizoko ghorofa ya tatu, Jengo la PPF Tower jijini Dar es Salaam.
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itacheza na...

 

11 years ago

GPL

NOOIJ ATANGAZA KIKOSI CHA STARS KITAKACHOIVAA MSUMBIJI

Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Martinus Ignatius "Mart" Nooij akitangaza kikosi cha wachezaji 20 watakaoivaa timu ya Taifa ya Msumbiji ‘Mambas’.
Wachezaji wa Stars wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi Mwinyi Kazimoto (kulia) wa Al Markhiya ya Qatar na Thomas Ulimwengu (TP Mazembe ya DR Congo wakimsikiliza kocha Nooij akitaja kikosi. Na Mohammed Mdose
KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani