Kikwete- Tanzania kwanza
RAIS Jakaya Kikwete amewasihi wajumbe wa Bunge maalum kaulimbiu yao iwe Tanzania kwanza na si vyama vyao vya siasa au makundi wanavyoviwakilisha kwenye Bunge hilo. Aliwaambia wajumbe hao jana kuwa misimamo ya vyama ambavyo wajumbe wamepewa na vyama vyao sio jambo baya kama ni suala la kujenga lakini kama ni suala la kubomoa misimamo hivyo haifai.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Rais Kikwete azindua benki ya kwanza ya Wakulima Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua benki ya Maendeleo ya Kilimo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa benki ya Maendeleo ya Kilimo.
Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo, Thomas Samkyi akizungumza wakati wa uzinduzi wa benki ya wakulima Tanzania (TADB), uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu JK Nyerere.
Mwenyekiti wa Bodi ya benki ya...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Z_1-m92vFiY/VEfvv28F9pI/AAAAAAAGsu8/EIOL0J-eCVk/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
Taswira za siku ya kwanza ya Ziara ya Rais Kikwete na mama salma kikwete nchini China
![](http://4.bp.blogspot.com/-Z_1-m92vFiY/VEfvv28F9pI/AAAAAAAGsu8/EIOL0J-eCVk/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ETB4-wqRnzw/VEfvwxxoFaI/AAAAAAAGsvM/LbM_T6UeIBs/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa Kwanza 1967 Katika Historia ya Tanzania
1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayatakuwa na
muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika kwenye maeneo machache.Kwani kumbukumbu zilizopo zinaonyesha kwamba mrembo wa kwanza kunyakua
taji hilo la Miss Tanzania, si mwingine bali alikuwa Theresa Shayo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-IHwNqr8Y6ko/VoPDvyXmpvI/AAAAAAAAPF0/p72Mg51KTEA/s1600/shayo67.jpg)
Kutokana na maadali na utamaduni ya mtanzania serikali ililazimika
kuyapiga marufuku mashindano hayo ilipofika tu mwaka 1967, kabla ya Rais
wa awamu ya pili Alhaj Ali...
9 years ago
StarTV20 Aug
Rais Kikwete akabidhiwa shahada ya kwanza ya heshima ya uwajibikaji
Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela kimemkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete shahada ya kwanza ya heshima aliyotunukiwa na chuo hicho disemba 18 mwaka jana, kutokana na juhudi yake ya kuchochea maendeleo ya sayansi na teknolojia nchini.
Shahada hiyo ni sehemu ya chuo hicho katika kuonyesha heshima na uthamini wa juhudi za rais Kikwete kwenye tasnia ya teknolojia, ambayo kwa mujibu wa Rais mwenyewe, nchi haiwezi kuendelea bila kuwa na maendeleo ya teknolojia.
Rais Kikwete...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png?width=640)
KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
Mama Salma Kikwete mgeni rasmi kwenye tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa shule za msingi
Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.
Na Mwandishi wetu
WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini, wameshauriwa kuwa na mazoea ya kusoma vitabu kwa lengo la kuwa wagunduzi wa vitu mbalimbali.
Akizungumza jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Soma, Demere Kitunga wakati wa maandalizi ya tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa Shule za msingi.
Kitunga amesema...
10 years ago
Mwananchi09 Jul
WB: Tanzania ijenge viwanda kwanza
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Tanzania yapata dhahabu ya kwanza
10 years ago
Habarileo28 Jan
Tanzania Kwanza yamfagilia Simbachawene
KAMATI ya Tanzania Kwanza, Nje ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema ina imani na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene na kwamba ataimudu wizara hiyo.